Kuonyesha huna afya ya akili walipigwa mabomu halafu wakauliwa?
Pili hoja hapa ni nini kama una afya ya akili kwamba awamu zingine zinatetewa au unazungumzwa ukatili wa bwana yule?
Zote ni serikali dhalimu za CCM ambazo kwa majira zote wapigania haki za binadamu wamepaza sauti kuonyesha mapungufu yao.
Wenye akili walikuwepo waliona ila wewe sukumagang hukuwepo nadhani, tulikuwepo tuliona na tulipaza sauti ila huyu muuaji wa Chato mungu wenu kazidi