Hata nikipata picha ya mumeo au mkeo mie naweza kuifanya avatar yangu, sina mbaya.Kama yeye hakuhusika ni nani aliyekamatwa kuhusika na matendo haya wakati wa utawala wake?
Aliyemuua Akwilina aliwajibishwa?
Waliomshambulia Lissu walikamatwa?
Nikikuita mpumbavu siyo kama nakosea nina hakika na upumbavu wako, tetea maslahi mapana ya jamii unayoishi siyo ya mtu.
Naona baada ya spana hata avatar yako umebadilisha picha ya muuaji kweli wewe chizi
Suala siyo kutofautiana mtazamo, hapa tuzungumzie ukatili dhidi ya ubinadamu, je muuaji mwendazake hakufanya?Bado unaendelea kuonesha kutokuamini kwenye kutofautiana mitazamo, hapa tunajadiliana kila mmoja ana mtazamo tofauti na mwenzie ila wewe unasema et sioneshi kukereka na hayo madai ya ukatili wa Magufuli. Kimsingi unachosema ni kwamba sikubaliani na wewe.
Hakuna kitu kibaya kama kutetea upumbavu, unakosa hekima, akili, ufahamu na weledi na lazima ukuache kama juha.Hata nikipata picha ya mumeo au mkeo mie naweza kuifanya avatar yangu, sina mbaya.
Ona sasa, Akwilina alikuwa tishio gani kwa Magufuli hadi useme kifo chake anahusika Magufuli? Kwamba Magufuli aliagiza auliwe Akwilina ndio muuwaji hakukamatwa?
Mzee Makamba kakosea sana...Bora aache wahuni WA mitandaoni kuropoka hayo sio yeye
DuhMzee alitoa boko sana..
Kuna mda alisema "shemeji" halafu akakaa kimya. Kisha akasema nna shemeji yangu pale.
Shemeji alie maanisha ni nani?
Nimeuliza mara nyingi ni aina gani ya watu ambao ndio walikuwa wakiuliwa au sababu zipi zilifanya hao watu kuuliwa?Suala siyo kutofautiana mtazamo, hapa tuzungumzie ukatili dhidi ya ubinadamu, je muuaji mwendazake hakufanya?
Usikubaliane na mimi kubaliana na ukweli, baada ya Magufuli vikosi vya wasiojulikana viko wapi?
Kwahiyo kutokuwajibishwa kwa askari waliyo sababisha kifo ndio ikafanya useme Magufuli alimuuwa Akwilina?Hakuna kitu kibaya kama kutetea upumbavu, unakosa hekima, akili, ufahamu na weledi na lazima ukuache kama juha.
Akwilina alikuwa ni raia wa Tanzania na alistahili ulinzi wa serikali, na jukumu la Raisi ni ulinzi wa raia.
Aliuliwa kwa risasi na polisi wa CCM kwa uzembe baada ya kutumia nguvu kubwa kwa risasi za moto kwa wanasiasa wanaotekeleza kazi yao ya kisiasa wakiwa hawana silaha yeyote.
Askari kwa kutumia risasi za moto unnecessary wakamuua Akwilina, kama hawakutumwa kutaka kuwaua wapinzani kwa nini serikali haikuwawajibisha askari waliosababisha kifo chake?
Sijui kama umeelewa maana akili yako iko preset kumtetea Magufuli basi, no more.
Picha umetoa baada ya spana mjinga wewe rudisha picha ya mungu wako, hujazungumzia chochote zaidi ya kumtetea Magufuli
Mzee alitoa boko sana..
Kuna mda alisema "shemeji" halafu akakaa kimya. Kisha akasema nna shemeji yangu pale.
Shemeji alie maanisha ni nani?
Hata wakati wake umeme ulikuwa unakatika kimya kimyaAcha kutetea hizi takataka zako!
Umeme wa Magufuli haukuwa wa kimavi kama huu wa sasa
Indeed.Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well 🙏
..mke wa Mzee Makamba ni Mhaya.
..Mzee Makamba alikuwa amemlenga, au anamzungumzia, Dr.Bashiru, ambaye ni Mhaya.
Tumia akili kidogo, mwenye dhamana anaua: je ni sheria, kanuni au ni katiba kwa Raisi kuua raia wake?Nimeuliza mara nyingi ni aina gani ya watu ambao ndio walikuwa wakiuliwa au sababu zipi zilifanya hao watu kuuliwa?
Au hakukuwa na sababu bali alikuwa anauwa tu?
Unajua dhamana kuu ya Raisi ni kuwalinda raia wake?Kwahiyo kutokuwajibishwa kwa askari waliyo sababisha kifo ndio ikafanya useme Magufuli alimuuwa Akwilina?
Tatizo unatumia hisia, huwezi kutenganisha ukweli na uongo kwa sababu unaongozwa na hisia zako juu ya Magufuli.
Kuwa muelewa, unachoeleza ni tuhuma hujawahi kuthibitisha na ndio nilikwambia pia kuwa hata Magufuli hakuwahi kukiri kuwa ni kweli nauwa raia. Sasa mimi najaribu kuchambua hizo tuhuma zako ila wewe unachukulia unachoeleza kama kitu kilichothibitika yani kipo kama unavyoeleza.Tumia akili kidogo, mwenye dhamana anaua: je ni sheria, kanuni au ni katiba kwa Raisi kuua raia wake?
Kama kuna sababu je inahalalishwa na sheria gani kuwaua?
Mimi kama raia napoona raia wanauliwa na mamlaka natakiwa kutafuta sababu na watu wa aina gani ndio wanauliwa?
Narudia kukuambia kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi, hivi kwa hoja yako hujioni kama una mapungufu kichwani?
Usimuwekee maneno.Mh. Makamba baba yake January kasema kuwa Kinana na Kikwete hawajafa maana watu wabaya huwa wanakufa akimaanisha Dkt Magufuli alikuwa mtu mbaya ndiyo maana alikufa, Mkapa alikufa kwa sababu alikuwa mtu mbaya, Mwl Nyerere alikufa kwa sbabau alikuwa mtu mbaya, Mzee Karume alikufa kwa sababu alikuwa mtu Mbaya, Horace Kolimba alikufa kwa sababu alikuwa mtu Mbaya …..
Narudia kusema wewe kichwa unafugia nywele. Hebu niambie kuna walioliwa na kutekwa na wasiojulikana wakati wa utawala wa bwana yule au hakuna?Kuwa muelewa, unachoeleza ni tuhuma hujawahi kuthibitisha na ndio nilikwambia pia kuwa hata Magufuli hakuwahi kukiri kuwa ni kweli nauwa raia. Sasa mimi najaribu kuchambua hizo tuhuma zako ila wewe unachukulia unachoeleza kama kitu kilichothibitika yani kipo kama unavyoeleza.
We unadai Magufuli alikuwa anauwa raia wake, ndio unijibu ni watu gani waliyokuwa wanauliwa na Magufuli au ni sababu zipi zilizokuwa zinafanya Magufuli hadi auwe hao raia?
Nauliza hivyo kwa sababu kuna watu wanadai walikuwa wanaishi kwa hofu kuoga kuuuliwa na Magufuli, lakini wengine hawakuwa wakiishi kwa hofu kuogopa kuuliwa na Magufuli. Ndio maana nauliza sababu za mauwaji?
Kutekwa au kuuwana ni uhalifu ambao upo katika awamu zote mkuu, tunachozungumzia hapa ni hizo tuhuma za kwamba katika awamu ya tano Mugufuli ndio alikuwa anauwa na kuteka.Narudia kusema wewe kichwa unafugia nywele. Hebu niambie kuna walioliwa na kutekwa na wasiojulikana wakati wa utawala wa bwana yule au hakuna?
Awamu ipi wapinzani walishambuliwa kwa risasi kama Lissu, na kinondoni?Kutekwa au kuuwana ni uhalifu ambao upo katika awamu zote mkuu, tunachozungumzia hapa ni hizo tuhuma za kwamba katika awamu ya tano Mugufuli ndio alikuwa anauwa na kuteka.
Katika awamu ya nne Chadema washapigwa hadi mabomu we unashangaa risasi tu.Awamu ipi wapinzani walishambuliwa kwa risasi kama Lissu, na kinondoni?
Awamu ipi walitekwa na tukawasikia wasiojulikana?