Mimi silazimishi ila najibu na kuchangia hoja inayotolewa bila kuangalia ni nani, nakushangaa wewe hiyo siyo hulka ya muungwana na mwanaumeNi uhuru wangu lakini wa kuchagua wa kuongea nae humu, sidhani kama ni sahihi kulazimisha mtu mwengine aongee na wewe.
Wanaotofautiana nae kimtazamoWatu gani au kundi gani la watu ambalo walikuwa wanatekwa, kushambuliwa au kuuwawa mfululizo kwa kipindi chote cha Magufuli ili tuangalie sasa kuwa wako salama toka andoke Magufuli?
Wanaotofautiana nae kimtazamo hususan wapinzani waliokuwa wamekamatwa ba kufunguliwa makosa yasiyodhaminika na kufungwa maisha.Watu gani au kundi gani la watu ambalo walikuwa wanatekwa, kushambuliwa au kuuwawa mfululizo kwa kipindi chote cha Magufuli ili tuangalie sasa kuwa wako salama toka andoke Magufuli?
Muungwana haongei maneno ya kukera watu kama wewe mkuu, hebu jichunguze jinsi unavyowasemesha watu kwa kuwaita majina mabovu mabovu bila sababu ya msingi.Mim
Mimi silazimishi ila najibu na kuchangia hoja inayotolewa bila kuangalia ni nani, nakushangaa wewe hiyo siyo hulka ya muungwana na mwanaume
Aendelee kupumzika kwa amaniAjue hayuko peke yake. Kila raia wa kawaida ambao ndio tupo wengi bado tunabubujikwa machozi. Na hawa tunajua Mungu atawalipa kwa namna ya ajabu. Maana chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni.
Kwahiyo kumbe unazungu wapinzani kukamatwa na polisi na kufunguliwa kesi?Wanaotofautiana nae kimtazamo hususan wapinzani waliokuwa wamekamatwa ba kufunguliwa makosa yasiyodhaminika na kufungwa maisha.
Hata CCM kama Simon Kangoye wa Kigoma.
Unajua mazungumzo kati ya CCM na CHADEMA baadhi ya ajenda zake?
Pia mara ya mwisho umesikia nani katekwa na wasiojulikana wamepotelea wapi?
Tatizo i call spade a spade, mjibu mpumbavu kadiri ya upumbavu wakeMuungwana haongei maneno ya kukera watu kama wewe mkuu, hebu jichunguze jinsi unavyowasemesha watu kwa kuwaita majina mabovu mabovu bila sababu ya msingi.
Mbona humalizii kuwashambulia kwa risasi za moto kama Lissu na risasi zilizomuua AkwilinaKwahiyo kumbe unazungu wapinzani kukamatwa na polisi na kufunguliwa kesi?
Sasa wakati unafanya hivyo kwa mtazamo wako wengine ndio hukuona wewe mpumbavu, na siku zote muerevu hawezi kushindana na mpumbavu kwenye upumbavu.Tatizo i call spade a spade, mjibu mpumbavu kadiri ya upumbavu wake
Ndio maana nilikuuliza ni makundi gani ya watu ambao ndio walikuwa wanauliwa au kutekwa katika kipindi chote cha Magufuli? Wewe ukataja suala la wapinzani kukamatwa na polisi na kufunguliwa mashtaka.Mbona humalizii kuwashambulia kwa risasi za moto kama Lissu na risasi zilizomuua Akwilina
Jaribu kutumia akili hata ya kuazima nakujibu kutokana na upumbavu wako, sishindani na upumbavu wakoSasa wakati unafanya hivyo kwa mtazamo wako wengine ndio hukuona wewe mpumbavu, na siku zote muerevu hawezi kushindana na mpumbavu kwenye upumbavu.
Huna akili, nimekueleza makundi ya watanzania sekta zote waliokuwa wanashambuliwa na dikteta.Ndio maana nilikuuliza ni makundi gani ya watu ambao ndio walikuwa wanauliwa au kutekwa katika kipindi chote cha Magufuli? Wewe ukataja suala la wapinzani kukamatwa na polisi na kufunguliwa mashtaka.
Nilichotaka mimi uniambie kwamba watu fulani walikuwa wanatekwa au kuuliwa kwa sababu fulani, Mfano Mo anaingia kundi gani na sababu ipi iliyokuwa ikifanya watu kama wakina Mo kutekwa? Roma mkatoliki anaingia kundi gani la watu ambao waliyokuwa wakitekwa enzi za Magu?Huna akili, nimekueleza makundi ya watanzania sekta zote waliokuwa wanashambuliwa na dikteta.
Azory Gwanda nimemtaja nae ni mpinzani?
Simon Kangoye wa Kigoma nae ni mpinzani?
Waliokuwa wanatekwa akina Roma Mkatoliki, Kipanya, MO nk ni wapinzani?
Waliobambikiwa kesi na kutakiwa kulipa mamilioni na wengine mabilioni ni wapinzani?
Pia wapinzani siyo watanzania?
Nikikuambia hutumii akili kujenga hojazako bali mahaba kwa jiwe nitakuwa nimekosea?
Ukitofautiana na mtu mitazamo unamwita mpumbavu, na kama mtu ni mpumbavu na wewe unamjibu upumbavu ili uonekane kuwa wewe ni mpumbavu zaidi au?Jaribu kutumia akili hata ya kuazima nakujibu kutokana na upumbavu wako, sishindani na upumbavu wako
hawa jamaa unahitaji akili kwenda nao! usipoonekana unawapa mwanya wa kukumaliza mapema.Ila jamaniiiii huyu mama anavumilia mengi, kama ni mm nisinge fika kwenye hvyo vikao, hata kama mumewe alikua na mapungufu ila sio kwa kusikia kauli hizi jamaniiiii 🥲
Hapo unadhihirisha ujinga wako, hao waliokuwa wanatekwa ni watanzania au siyo watanzania?Nilichotaka mimi uniambie kwamba watu fulani walikuwa wanatekwa au kuuliwa kwa sababu fulani, Mfano Mo anaingia kundi gani na sababu ipi iliyokuwa ikifanya watu kama wakina Mo kutekwa? Roma mkatoliki anaingia kundi gani la watu ambao waliyokuwa wakitekwa enzi za Magu?
Definition rahisi ya upumbavuUkitofautiana na mtu mitazamo unamwita mpumbavu, na kama mtu ni mpumbavu na wewe unamjibu upumbavu ili uonekane kuwa wewe ni mpumbavu zaidi au?
Magufuli hakuwahi kusema kuwa aliwateka au kukataa kuwa hakuwateka, hivyo tunajaribu kuangalia ni watu gani waliyokuwa wanatekwa na sababu gani hadi wakawa wanatekwa? Mfano humu JF wapo watu ambao wanasema walikuwa wanaishi kwa mashaka ya kutekwa na Magufuli ila tupo wengine ambao hatukuwa tukiishi na hayo mashaka, ndio maana nauliza ni watu gani ambao ndio walikuwa wanatekwa au sababu zipi zilikuwa zinafanya uweze kutekwa?Hapo unadhihirisha ujinga wako, hao waliokuwa wanatekwa ni watanzania au siyo watanzania?
Wewe kwa upuuzi wako ulioingia jukwaani na political agenda ya kumtetea muuaji ujibu huyo muuaji unaemtetea alikuwa na sababu gani ya kuwateka hao aliowateka.
Nikikuita mpumbavu utakataa? Mimi nikueleze sababu za jiwe kuwateka aliowateka?
Kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi
Kwani Dr Ulimboka alijisikiaje aliposikia kwamba watu wazuri hawafi halafu akatajwa Kikwete kuwa ni katika watu wazuri?Definition rahisi ya upumbavu
Kuuona ukweli
Kuujua ukweli
Lakini kuamini uongo.
Ukitumia akili kwa manufaa ya taifa utajigundua kuwa u mpumbavu sababu wewe umeamua kumtetea mtu, ni vigumu kufikia compromise.
Ila ukiona natoa kauli za kipumbavu usisite kuniambia.
Hivi wahanga wakubwa wa matendo yake ya kikatili wakikusikia unavyotetea hapa wanajisikiaje ukizingatia uko tayari kupindisha kweli?