Special message to Mama Janeth Magufuli

Hao sio wazima. Kuna watu sio wanasiasa,sio wafanyabiashara,sio waandishi wa habari wala Magufuli hakuwa akiwajua ila et nao wanakwambia walikuwa wanaishi kwa hofu ya kutekwa na Magufuli.
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa hofu yao ilikuwa ya nini au walikuwa na hofu ya kujiteka wenyewe kama yule diwani Rwakatare!
 
Tanzania hakuna tofauti ya kuwepo kiongozi anayeitwa dikteta au asiyeitwa dikteta, ndio maana sasa hivi huyo dikteta hayupo na hakuna tofauti kubwa yeyote labda kwa hao akina Makamba.
Tofauti kubwa ipo. Sema kwenu nyinyi mliokuwa mnafaidika na utawala wa kiimla wa Magufuli,hamuwezi kuona Kwa sababu ya mahaba.

Kwa viwango vyovyote tofauti ni kubwa mno!
 
Tofauti kubwa ipo. Sema kwenu nyinyi mliokuwa mnafaidika na utawala wa kiimla wa Magufuli,hamuwezi kuona Kwa sababu ya mahaba.

Kwa viwango vyovyote tofauti ni kubwa mno!
Eleza hizo tofauti kubwa zilizopo sasa Tanzania toka andoke kiongozi aliyesemwa kuwa ni dikteta.
 
Ulisikiliza mwanzo mwisho wa kipi hasa aliongea Mzee Yusuf Makamba au marejeo yako ni haya yanayosemwa na Wafiwa wa JF?!
 
Usinihusu vipi akati unaandika ujinga. Kama huna hoja ya maana usiilete JF, ukileta hoja ya kpumbavu utachez4a za uso. Nenda kaandike huko facebook kwa vichwa maji wenzio
Sikia we kiazi shida ni uchawa wa kipumbavu au ni kwel huna akili timamu ndio maaana hujaona kama hajamshambulia magu ila wenye akili ata raisi wako alijua anamaanisha Nini ila wewe chawa usiejielew umeshindia viporo vinasumbua tumbo unakuja kusumbua uku
 
Sauti ya mamlaka. Nimemkumbuka sana Rais Magufuli. RIP
 
Punga mama yako mzazi aliyezaa kiazi, kwa mwenye akili anayetumia makalio idadi ya waliodhulumiwa uhai ni ya kutafuta wakati wa shetani?
Nani alikamatwa kwa kifo cha Akwilina?
Wengi wakina nani wataje hapa na Mimi nikutajie waliopotea awamu ya nne punga wewe
,
 
Hoja yako ni nini sasa we sukumagang? Kwamba tatizo siyo CCM, unaosema wanaachia ubunge na udiwani kubalance wanafanya kwa sheria ipi?
Kwa mamlaka ipi?
Hoja unapinga nini hapo?
 
Kwani kiongozi aliyekufa ni jiwe peke yake? Mkapa, Nyerere, Kawawa, Karume, n.k hawakuwa viongozi?

Acheni kusambaza uzushi na uzandiki. Lkn bahati nzuri hamna cha kumfanya
Sukumagang wanaliona jambazi lao tu
 
hapo kwa Janet uwa Sina shida nae.
angekuwa sio mzee ningemuoa.awe mke wanguu
 
Kwa kuwapiga risasi na kuwatengenezea wasiojulikana ili kuwateka wanaotofautiana mtazamo? Alimuwajibisha aliyemuua Akwilina?
Afe tena huko aliko watanzania wenye akili tynamshukuru Muumba wetu kutuondolea chinja chinja
 
Tanzania hakuna tofauti ya kuwepo kiongozi anayeitwa dikteta au asiyeitwa dikteta, ndio maana sasa hivi huyo dikteta hayupo na hakuna tofauti kubwa yeyote labda kwa hao akina Makamba.
Acha au ficha ujinga wako, toka muuaji wenu afukiwe nani ametekwa, kashambuliwa au kuuawa?
Nani kapotea kama Ben Saanane na Azory Gwanda?
Sukumagang kama mmerogwa vile
 
Hoja yako ni nini sasa we sukumagang? Kwamba tatizo siyo CCM, unaosema wanaachia ubunge na udiwani kubalance wanafanya kwa sheria ipi?
Kwa mamlaka ipi?
Hoja unapinga nini hapo?
Siongei na wewe mkuu.
 
Acha au ficha ujinga wako, toka muuaji wenu afukiwe nani ametekwa, kashambuliwa au kuuawa?
Nani kapotea kama Ben Saanane na Azory Gwanda?
Sukumagang kama mmerogwa vile
Watu gani au kundi gani la watu ambalo walikuwa wanatekwa, kushambuliwa au kuuwawa mfululizo kwa kipindi chote cha Magufuli ili tuangalie sasa kuwa wako salama toka andoke Magufuli?
 
Unatafuta nini huku hadi uchague wa kukujibu?
Huko Chato hakuna forum yenu pekee?
Ni uhuru wangu lakini wa kuchagua wa kuongea nae humu, sidhani kama ni sahihi kulazimisha mtu mwengine aongee na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…