Special message to Mama Janeth Magufuli

Lkn jiwe hakuwa mbaya kwa Makamba peke yake. Alikuwa mbaya kwa watanzania walio wengi. Ameua watu, ameteka watu, amejeruhi watu, amefilisi watu na ametukana watu hadharani
 
Pole sana, Mama Janeth Magufuli.
Yule Baba tulimpenda sana na bado tunamkumbuka na tutaendelea kumkumbuka daima.
Alijitoa SADAKA kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Sadaka yake ni takatifu mno. Hata kama alijua nini kinaweza kumpata, lakini alisonga mbele kuwapigania Watanzania wanyonge.
Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Karume alifia nyumbani kwako
 
Lkn jiwe hakuwa mbaya kwa Makamba peke yake. Alikuwa mbaya kwa watanzania walio wengi. Ameua watu, ameteka watu, amejeruhi watu, amefilisi watu na ametukana watu hadharani
Hayo sio tunayojadili hapa, kilichopo hapa ni kwamba hakukuwa na mahusiano mazuri kati ya Magufuli na Makamba na yaliyotokea tumeyashuhudia hivyo sio suala la kuongea kijumla jumla.
 
Ni kweli lazima ataendelea kukumbukwa kwa upuuzi alioufanya. Madikteta huwa hayasahauliki. Hitler, Mussolini, Magufuli, Idd Amin, Mobutu n.k mpk leo yanakumbukwa
Tanzania hakuna tofauti ya kuwepo kiongozi anayeitwa dikteta au asiyeitwa dikteta, ndio maana sasa hivi huyo dikteta hayupo na hakuna tofauti kubwa yeyote labda kwa hao akina Makamba.
 
Kwa kweli Leo makamba katukwanza sana watanzania.eti kanasema mbaya alikufa na wazuri wapo wakina jakaya na January makamba kweli?huoni hapo anamuumiza mama janeth na sisi wazalendo?huyu mzee anawashwa na kundu lake
Hajui kama ulimi uliponza kichwa, mbona mwanaye anasemwa kwa mabaya kwahiyo Mungu ni hamuoni? Nazani hajui ule msemo wakuwa sanda inaweza kutangulia kuzikwa na mwili ukabaki.
Mwache ajitafutie laana bila sababu!
 
Huyu kizee hana akili timamu. Kwa kumtaja tu jakaya kwamba anadunda direct frontline wanakaa marais kwani jakaya ni Rais mstaafu. CCM inadhani ina hazina kumbe ni level ya mashetani.
Hata cha maana hakuna zaidi yakutuumiza hakuna wakuishi milele hapa duniani.
 
Kauli ya Mzee Makamba ingetosha kabisa kuamsha varangati za kikabila katika mataifa kama Nigeria, Sierra Leone au Liberia, yaani pasingelalika.

Watanzania tumekuzwa katika misingi ya kijamaa ya kusameheana na haya yanasahaulika kadri muda unavyokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…