Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,803
- 17,418
Kwani Chato sio Tanzania mkuu. Raisi Sasa aendew kwa gari jamani nyumbani. Ila tuachane hizi mambo Mana Ni ishu za biasennes and beliefs.Ila kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kujenga uwanja mkubwa wa ndege kijijini Chato kwako furaha?
Prove hizo shutuma zako kwa Lissu acha upumbavu na hilo dikteta lenu hata huko afe tena
Watu hawaelewi. Mavura akateuliwa ubalozi Korea tokea jk anateuliwa kwani hakuna wanaofaa Tena. Anabakia kuandika kuwa watu wajiajiri Mara mbona wa Asia wamido east hawatembei na bahasha. Hata magerezani hawapo ,yaani anakuwa Kama Hana exposure so huko kwa wahindi hakuna walioko magereza ama wanaotafuta kazi.We hasira yako ni kama yangu mi mwenyewe sipendi nchi ya watu 61M inaliwa na Koo tatu tu.
Ndo huo huo mshahara hao makapuku/wanyonge wa Mwendazake hawana.Sasa we una utajiri gani kapuku wewe? Mtu unategemea mshahara wa kupiga domo, simu yenyewe kila leo ukipiga screenshot inaonekana ni INFINIX, utajiri upi?? Mafukara mna mambo ya hovyo sana.
Akili gani ulizonazo kiasi cha kuwaita wenzio wajinga, kama Nyerere hakuwa na akili umewahi kujiuliza kwanini hakuwa babako? Watu kama nyinyi hata mimi nanyunyiza tu risasi.
Inategemea kiungo unachotumia kufikiria siyo ubongo, sasa hivi tuna Raisi wa sita kwa hiyo kila Raisi ajenge uwanja mkubwa wa ndege kijijini kwake alikozaliwa?Kwani chato sio Tanzania mkuu. Raisi Sasa aendew kwa gari jamani nyumbani. Ila tuachane hizi mambo Mana Ni ishu za biasennes and beliefs.
Kwa hiyo dikteta wenu alikuwa na mamlaka ya kuzuia ukame kuzuia mabadiliko ya tabia nchi yaliyosababisha ukame?Poa ngoja Basi Uhuru upo na demokrasia. Subiria watumikie wananchi wame relax. Vipi umeme ,.maji unapata ulipo lakini. Umesaini software ya tokea India ya 69bn kufuatilia umeme kukatika. Umecheki behewa. Sheria inakuja inatakiwa uwe na Taifa gesi ndani yako lazima. Bwawa la nyerere tunalizungusha kwanza ili tupate umeme wa gesi kwanza. Subiria tutor ardhi ya bagamoyo 100yrs kwanza. Mapato ya bandari yanaenda kwa wachina sema huku nje unafumbwa. Miktaba ya madini inaletwa uzito mdogo ili tule kwa urefu wa kamba upo lakini
Naimani atausoma huo Utenzi umfarijiHabari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well [emoji120]
Vita vya ndugu kwa ndugu sisi tuchukue jembe tukalime.Watu wamekereka na lugha ya chuki ya mzee makamba aliyotoa jana kule Dodoma kwenye mkutano mkuu wa CCM
Vita vya ndugu kwa ndugu sisi tuchukue jembe tukalime.Watu wamekereka na lugha ya chuki ya mzee makamba aliyotoa jana kule Dodoma kwenye mkutano mkuu wa CCM
Kiungo unachotumia kureason kina walakini, kama ni hivyo kulikuwa na ulazima gani wa kuiba kura?Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
Kwani magu alikufanyia ukatili?
Wale watu 5 waliouwa na bomu pale Soweto kwenye mkutano wa chadema wakati huo rais akiwa jk na katibu mkuu wa ccm akiwa kinana huyo mungu wako atalipa lini?
Vipi mungu wako atalipa lini ile kadhia ya Mwangosi na Ulimboka?
Humu Jf kuna mlamba matako zaidi yako na chawa wengine, ni nani asiyekujua? Si unaona hata sasa unayalamba ya mzee Mkamba[emoji23]. Nani mwenye maisha yake atafanya kazi ya uchawa??Ndo huo huo mshahara hao makapuku/wanyonge wa Mwendazake hawana.
Una stress Sana ndio maana unatokwa na mapovu Sana na ulivyo maskini wa akili na Mali unadhani simu ndio utajiri [emoji16][emoji16]
Mwisho unataka kuwa na decent life au kuwa tajiri? Utajiri sio wa kila kima ,nyie wengine mtaishia kuwa walamba makalio tuu.
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
Mbona ccm bado inakubemenda?
Kwanini usiwambie wakuondolee hiyo ccm?
Kwa hiyo 2025 utashinda kwa kishindo?
Wote walifanyiwa ukatili na serikali za CCM ukoo wa panya mnajuana, ila ukweli wema hawafiVipi kuhusu ulimboka?
Wote walifanyiwa ukatili na serikali za CCM ukoo wa panya mnajuana, ila ukweli wema hawafiVipi kuhusu ulimboka?
Unazungumzia ubunge na udiwani si ndio? Maana kwenye upande wa urais mlisha ridhia kwamba hiyo ni nafasi ya ccm tu nyie mtagawana nao ubunge na udiwani tu.
Hiyo ndio tofauti unayoizungumzia ya hali ya uchaguzi?
Ajue hayuko peke yake. Kila raia wa kawaida ambao ndio tupo wengi bado tunabubujikwa machozi. Na hawa tunajua Mungu atawalipa kwa namna ya ajabu. Maana chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni.