Special message to Mama Janeth Magufuli

Pray for u mwalim wangu. Natamani upewe Urais wewe wenye viriba vya roho waumuke
 
Sio lazma ucomment vingine Uzi kama haukuhusu pita kimya
Usinihusu vipi akati unaandika ujinga. Kama huna hoja ya maana usiilete JF, ukileta hoja ya kpumbavu utachez4a za uso. Nenda kaandike huko facebook kwa vichwa maji wenzio
 

Unadhani hatujui tofauti ya chaguzi chini ya Magufuli na nyingine? Kabla ya Magufuli CCM ilikuwa inaiba kura, na bado wapinzani walikuwa wanazidi kuongezeka. Magufuli alipoona kuiba hakutampa kura atakazo zaidi ya fedheha, akaamua kupora mchakato wa uchaguzi. Kama hujui tofauti ya hili basi huna ujualo.
 
Samia na genge lake la wahuni wanatembea kifua mbele wamejisahau kuwa mwisho wao hupo karibu sana.
 
Huenda mahasimu wake wanajaribu...... "ku-capitalize hii kauli for political gain and public sympathy"....ila siasa mchezo mchafu Sana...

Ila ni vyema kuchunga kauli zetu tunapoongea mbele ya hadhara.
Chige Tindo Pascal Mayalla
Mkuu Proved...

Nikiri na mimi mwanzoni nilimshutumu sana Mzee Makamba! Baada ya kuona screenshot iliyomnukuu SSH, nikadhani SSH anamtetea tu Mzee Makamba, kwahiyo nikalazimika kutafuta clip.

Baada ya kuisikiliza, nikasema kama alichosema JokaKuu

Ajabu, nimeshambuliwa balaa, tena wengine nilikuwa nawaheshimu

Kwamba Mahasimu wake wana-capitalize hii kauli, I can confidently say, sio MAHASIMU wake!

Mahasimu wake ni neno zito sana! Wanao-capitalize hiyo kauli ni Walinzi wa Legacy! Hawana quality yoyote ya kuwa Mahasimu wa Mzee Makamba!

Hawa ni wale ambao wanataka misimamo ya kila mtu kuhusu Magu ni LAZIMA ifanane na wao, kinyume chake watakuona UNA CHUKI.

Hawa wanataka sote tuamini Ben Saanane, Tundu Lissu, Anzory Gwanda, Erick Kabendera, na wengine wengi tu hawakukutwa na jambo lolote kwahiyo tuwapuuze!
 
Magufuli anastahili kutukanwa kitaifa. Yaani iwepo siku ya kitaifa ya kumnanga
 
Ila mama Janeth Magufuli angekuwa na ka-foundation ingekaa poa sana, angeanzisha.foundation inayo deal na ushauri kwa wanawake waliofiwa na wenza/waume zao ingekaa poa sana au mama hataki makuu nin?
 
Kwa hayo mameno inatakiwa huyo makamba auliwe haraka sana ni laana ya taifa ...sijui usalama wa taifa kaziyao ni gani ...mimi namlaani magufuli kwa kuwaacha hai wazee watatu katika hii nchi.
WAISIHARAMU AKILI HAWANA
 
Mnaomkumbuka ni nyie sukuma gang sisi bado tunamtafuta Ben Saanane
 
Hii ndo tafsiri sahihi hasa...

2020 sio kwamba ziliibwa kura bali uliibwa mchakato WOTE wa Uchaguzi, na uchaguzi wenyewe.

Mwaka jana nilikutana na Msimamizi mmoja wa uchaguzi ambae ni Vert Trust worth. Nikamuomba aniambie ukweli kuhusu ule uchaguzi!!

Ambayo aliniambia, ingekuwa ni mtu mwingine, nisingemuamini.

Akanisimulia jinsi alivyopata changamoto kwenye kituo kimoja!

Matokeo yanaonesha mtu wa upinzani ameshinda. Aliposimama, nyuma yake kuna askari wenye silaha wanamtaka atangaze tofauti, mbele yake kuna kundi kubwa la wananchi wakiwa na nyuso za "Ole wako" huku wakipiga kelele kwamba wakiporwa hapata kalika.

Kilichomsaidia mwamba, kwenye kitongoji cha jirani Raia wakaliamsha vibaya mno, ofisi za serikali zikaanza kuchomwa moto kiasi kwamba askari waliokuwepo wakawa wamezidiwa nguvu na kuomba backup ya askari wengine.

Ikabidi askari waende kule kwenye vurugu, na hapo ndipo Mwamba akatangaza matokeo halali kisha akatokomea!!
 
"Ukiondoka kabla ya 2025"

Utata wenyewe umeanzia hapo, unaweza kufafanua kipi kimemfanya awaze hilo la Samia na kutokufika hiyo 2025? Halafu anamalizia watu wazuri hawafi.
Sasa hapo vinahusiana vp kufa kabla ya 2025 na suala la watu wazuri?
 
"Ukiondoka kabla ya 2025"

Utata wenyewe umeanzia hapo, unaweza kufafanua kipi kimemfanya awaze hilo la Samia na kutokufika hiyo 2025? Halafu anamalizia watu wazuri hawafi.
Sasa hapo vinahusiana vp kufa kabla ya 2025 na suala la watu wazuri?
Yote uliyoouliza nimeyasema kwenye post hiyo hiyo uliyoi-quote! Kama unatarajia jibu lingine tofauti na hayo, SINA!
 
Mungu alishalipa 17 march 2021 kwa wale aliowafanyizia.
Wale watu 5 waliouwa na bomu pale Soweto kwenye mkutano wa chadema wakati huo rais akiwa jk na katibu mkuu wa ccm akiwa kinana huyo mungu wako atalipa lini?

Vipi mungu wako atalipa lini ile kadhia ya Mwangosi na Ulimboka?
 
Wakati mume wake anaendesha ukatili hakujua mwisho wa mumewe utakuwa mbaya? Hapo alipo anapewa mrejesho wa udhalimu wa mumewe.
Kwani magu alikufanyia ukatili?
 
Ukweli ni kwamba Lissu kupona ndio kulikomfanya yule dikteta afe maana hakuamini ameponaje. Kupona kwa Lissu ndio kilikuwa kifo Cha dikteta. Damu ya mtu ni nzito kuliko maji.
Vipi damu ya mwangosi?

Vipi ile ya chacha wangwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…