Duu umenikumbusha mbali sana Enzi za igwachanya na kitewasi. Utamu wa ulanzi (ulasi) ni kunywa asubuhi sana ukiwa mtoogwa (low alcohol percentage)ukinywa jioni unakuwa mdindifu High alcohol percentage na huu ndo unawachonga sana watumiaji. Hongera kwa aliyegundua ulanzi