mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567

Mgombea wa kambi ya upinzani Igunga awe ni mmoja tu. Ni kivipi mgombea huyo apatikane; viongozi watusaidie kuratibu hilo.

sasa kama hizi taarifa zinawahusu wana Igunga wa CDM kwanini umeileta Jamvini?

ushauri.

wape masunduku ya maoni jimboni.
Bila kumsahau Sugu mzee wa vina.3. Kutumia kupendwa kwa viongozi wa cdm kwa sasa wakiwemo wabunge wake wote wennye mvuto kwenye hoja kama Dr. Slaa, Mbowe,zitto,Lema, mnyika,msigwa,wenje,Mdee, dogo wa mbozi etc. Kila mtu ajipange kuongelea hoja moja ambayo anauelewa mkubwa kama zitto anaweza kujikita kwenye ufisadi kwenye madini n, Mdee kwenye ufisadi kwenye Ardhi,Mnyika kwenye ufisadi kwenye project za umeme, Lema kwenye issue za haki za watu kupuuzwa na kupatikana kwa rushwa kama matibabu, mahakamani, ardhi na mengine mengi.
Erasto Tumbo lazima atapewa tuu..Si tumezoea kuona wanapeana..halafu huyu atakuwa mchaga ..subiri nizame google nicheki tumbo ni wapi.CCM oyeeeeeMuhimu: Nani kati ya hawa unamwona anafaa kupeperusha bendera yetu Igunga toa pia sababu.
1. Kajua Sebastiani 2. Marco Amos 3. Kahema John, 4. Buzinza Magego, 5. Dickson Samsoni, 6. Anwari Luhumbi, 7. Erasto Tumbo, 8. Joseph Mwandu, 9. Juma Katigula, 10.Frank Matto, 11.Joseph Mapalala 12.Juma Chaha.
Pamoja Tutaweza, Nimerudi kuwashika............mapambano ndiyo yanaanza..... People's Power.
Mgombea wa kambi ya upinzani Igunga awe ni mmoja tu. Ni kivipi mgombea huyo apatikane; viongozi watusaidie kuratibu hilo.
Bila kumsahau Sugu mzee wa vina.
yeyote atakayepitishwa na CDM ndiye mbungeMuhimu: Nani kati ya hawa unamwona anafaa kupeperusha bendera yetu Igunga toa pia sababu.
1. Kajua Sebastiani 2. Marco Amos 3. Kahema John, 4. Buzinza Magego, 5. Dickson Samsoni, 6. Anwari Luhumbi, 7. Erasto Tumbo, 8. Joseph Mwandu, 9. Juma Katigula, 10.Frank Matto, 11.Joseph Mapalala 12.Juma Chaha.
Pamoja Tutaweza, Nimerudi kuwashika............mapambano ndiyo yanaanza..... People's Power.
Mkuu wangu, Chadema haishindani na CUF swala ni kuchukua Jimbo toka CCM. Mfano wa Busanda hautusaidii kitu kwa sababu jimbo lilibakia mikononi mwa CCM..Wana Chadema nimeona niwatoe wasiwasi kuhusu matokeo yaliyopita ya jimbo la Igunga ieleweke Chadema hatukuweka mgombea wagombea walikuwa wawili tu RA wa CCM aliyepata kura 34,090 na Leopard Mahona wa CUF aliyepata kura 11,321 unaweza kuona kabisa ni kiasi gani kuna mtaji wa kura za upinzani huko, hiyo ni mbali na matokeo ya kura za urais.
Kwa taarifa yenu Chadema Igunga ina mizizi kuliko watu wanavyodhani, CCM imechokwa watu wanataka mabadiliko hizo kura za CUF zisiwababaishe wananchi walikuwa hawana alternative nyingine zaidi ya kukipigia chama hicho nafikiri Chadema ingeweka mgombea mambo yangekuwa tofauti, kura zinaonyesha mbali ya RA kugawa pesa kila kaya lakini bado watu walimkataa.
Ngoja niwakumbushe historia ya uchaguzi mdogo wa Busanda 2009, matokeo ya ubunge Busanda ya mwaka
2005: CCM= 61,868, CUF=13,094 na Chadema= 3,109 lakini kwenye uchaguzi mdogo uliofuata mambo yakabadilika...
2009: CCM= 29,242, CUF= 977 tu na Chadema ikapata kura 22,799 what happened to CUF?
Kilichoifanya Chadema iipiku CUF kwa kura nyingi kiasi hicho ndicho hicho hicho kitaifanya Chadema kuibuka kidedea kwenye uchaguzi huu. Kwa hilo sina wasiwasi kabisa kwasababu zifuatazo, kwanza Igunga tuna mtaji wa kura za upinzani pili tuna nyongeza kutoka CCM waliokatishwa tamaa na utawala wa CCM na tatu wapenzi wa mbunge wao kipenzi RA waliochukizwa na maamuzi ya kumfukuza mbunge wao tuko nao pamoja. Nne CCM imechoka haina mtu kitaifa wa kwenda Igunga na kukiuza chama Nape na Chiligati kwa hali ya kawaida hawawezi kukanyaga kule labda kama wanataka kuzomewa.
Pamoja na hayo Chadema ina kikosi kazi kilichokamili kuanzia mzee wa anga hadi askari wa miamvuli, NEC ikiacha haki itendeke kwenye uchaguzi huu na Chadema tukijipanga vizuri kuzilinda kura kwa sababu zipo tuna kila haja ya kutembea kifua mbele kuwa jimbo hilo ni letu.