Special kwa waliokosa sifa TCU

Special kwa waliokosa sifa TCU

Joined
Jul 2, 2016
Posts
26
Reaction score
16
Habari wana JF,

Lengo la uzi huu ni kutoa ushauri tu kwa wale wote jamaa zetu waliokosa sifa za kujiunga na shahada kupitia vigezo vilivyowekwa na TCU. Ushauri wangu ni kuwa sasa ni nafasi pekee ya kuvipindukia vyuo vilivyo chini ya veta ili kwenda kuchukua fani mbalimbali zitakazoweza kukusaidia baadaye kuliko kukata tamaa na kuendelea kuishi tu nyumbani. Veta wana fundisha fani nyingi nzuri na zina soko kubwa tu kama umeme,ujenzi,seremela nk.

Huu ni ushauri wangu nakaribisha masahihisho na maongezo.

Asanteni
 
Habari wana jf, lengo la uzi huu ni kutoa ushauri tu kwa wale wote jamaa zetu waliokosa sifa za kujiunga na shahada kupitia vigezo vilivyowekwa na tcu...Ushauri wangu ni kuwa sasa ni nafasi pekee ya kuvipindukia vyuo vilivyo chini ya veta ili kwenda kuchukua fani mbalimbali zitakazoweza kukusaidia baadaye kuliko kukata tamaa na kuendelea kuishi tu nyumbani.Veta wana fundisha fani nyingi nzuri na zina soko kubwa tu kama umeme,ujenzi,seremela nk.

Huu ni ushauri wangu nakaribisha masahihisho na maongezo.
Asanteni
Vigezo vipya vinawahusu wale waliodahiliwa mwaka wa masomo 2015/2016?
 
Back
Top Bottom