D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,178
Ngoja waje na mapovuSPECIAL KWA WADADA
Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka
Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya Kwanza Umeshinda Unachati, Siku ya Pili Umeshinda Unachati Tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni Kumbe Wao Wanakutazama Tu na kukupimia Wala Hawakwambii Kitu
Siku ya Tatu Wanakwambia Leo Ni Zamu Yako Kupika, Unaingia Jikoni unaona Kila Kitu Kigeni
Vya Huku Unaweka Kule, Vya kule Unaweka Huku (Yaani Hujui Kupika Chochote)
Sufuria Unashika Kama Umeshika Power Bank, Unapika Na Lipstick, Mdomo Mwekunduuu Utafikiri Mtoto wa Jini Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu tena huku Umevaa Saa, Umevaa Culture Zimejaa Nusu Ya Mkono, Umevaa Mini Skirt Kama Wafanyakazi Wa Emirates
Msosi wa Wakwe Huwezi Kupika. Ukiambiwa Hufai Kuolewa Unavuta Mdomo Utafikiri Umenyimwa USB Cable Ubust Smartphone Yako
Unaanza Kulalamika Wakwe Hawakupendi, Unalalamika Weee, Unashindwa Kuelewa Kuwa Wewe Ndo Tatizo.
Usitake Kuolewa Ukidhani Mumeo Atakula Chips na Wewe Utakuwa Utakula Pizza Kila Siku, Jifunze Hata Kuchemsha Chai Basi[emoji1] Au Unadhani Google Wataleta App Ambayo Unaweka USB Kwenye Simu Yako Alafu Unaielekezea Kwenye Sahani Inaproduce Msosi
[HASHTAG]#JIPANGE[/HASHTAG] DADA Usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga selfie
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji125][emoji124][emoji124]
We jamaa[emoji15]
PointHao ni wale watoto wasiojua heshima anayotakiwa kuwa nayo mtu akiwa ukweni.
Hivyo wala usiwalaumu wakijua kinatakiwa nini watabadilika.
Na pia muwe mnafanya machaguo sahihi mana hiyo ni aibu sasa.
kuna mtu hajui kupika miaka hii? mimi nikipewa interview ya kupika nadhani nitampindua hadi mama mkweKwanza kuna code of conduct inayoswma usipike ukiwa umepaka lipstick? Mpaka kupeana interview za kupiga ukweni hii ni ndoa au nafasi ya ajira?
Naona umeita ambulanceVipi
Umetisha misskuna mtu hajui kupika miaka hii? mimi nikipewa interview ya kupika nadhani nitampindua hadi mama mkwe
Kwa hali hiyo bado kuna shida hiki kizaziKwanza kuna code of conduct inayoswma usipike ukiwa umepaka lipstick? Mpaka kupeana interview za kupiga ukweni hii ni ndoa au nafasi ya ajira?
yaani unapika hadi sufuria inakupa shikamoo. mezani sasa unapamba salad dressing ya kufa mtu hadi waombe pooUmetisha miss
Swadaktaaa!Hao ni wale watoto wasiojua heshima anayotakiwa kuwa nayo mtu akiwa ukweni.
Hivyo wala usiwalaumu wakijua kinatakiwa nini watabadilika.
Na pia muwe mnafanya machaguo sahihi mana hiyo ni aibu sasa.
Hakalime - AkalimeSiwezi kuoa Wa hvyo kwanza mm lazima hakalime shambani kwanza mpaka awe active
Kupika unajua ila kunako 6x6 unatulia kama gogo![emoji41][emoji41][emoji41]............ningekuwa wa kike kwenye hiyo sentensi yangu ningemalizia na "mfyuuuu"![emoji4][emoji4][emoji4]yaani unapika hadi sufuria inakupa shikamoo. mezani sasa unapamba salad dressing ya kufa mtu hadi waombe poo
Wapo pilao yenyewe mzik, bado bed hawajui chochotekuna mtu hajui kupika miaka hii? mimi nikipewa interview ya kupika nadhani nitampindua hadi mama mkwe
We unajua kupika?Hao ni wale watoto wasiojua heshima anayotakiwa kuwa nayo mtu akiwa ukweni.
Hivyo wala usiwalaumu wakijua kinatakiwa nini watabadilika.
Na pia muwe mnafanya machaguo sahihi mana hiyo ni aibu sasa.