virginity
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 902
- 985
Afazali hata wewNikioa mke wangu.kazi yake ni kitandani TU.
Kupika apende mwenyewe.
Afazali hata wewNikioa mke wangu.kazi yake ni kitandani TU.
Kupika apende mwenyewe.
Sio wote kwakweli, wengi wetu tunaangalia tabia na kila kitu.Kuanzia muonekano , ongea yake, story zake utajua tu kuwa huyu ni mke. Tatizo lenu mnaangalia sura na mnapenda wadada micharuko!
Pia ukumbuke kuwa unayemuona sio wife material mwenzako anaridhika nae. So ni kuangalia vigezo vyako wewe binafsi.Sio wote kwakweli, wengi wetu tunaangalia tabia na kila kitu.
Haya nimekuelewa nduguPia ukumbuke kuwa unayemuona sio wife material mwenzako anaridhika nae. So ni kuangalia vigezo vyako wewe binafsi.