Special kwa wadada,chungu lakini dawa:

Special kwa wadada,chungu lakini dawa:

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Umepata BWANA umempenda kweli kweli na UMEMLALAMIKIA sana eti kwanini HAKUPELEKI kwa WAZAZI wake KUKUTAMBULISHA!

JAMAA akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi AKAKUPELEKA!

Wewe badala hata u_take hiyo ADVANTAGE umefika tu siku ya kwanza umeshinda una_chart tuu!

Siku ya pili umeshinda una_chart ,tena ndio unajisifia kwenye GROUPS upo UKWENI kumbe wao WANAKUTAZAMA tu na KUKUPIMIA wala HAWAKWAMBII kitu!

Siku ya tatu WANAKWAMBIA leo ni ZAMU yako kupika!

Unaingia JIKONI unaona kila kitu kwako KIGENI.

Vya HUKU unaweka KULE vya KULE unaweka HUKU (yaani IN SHOT HUJUI KUPIKA CHOCHOTE)

SUFURIA unashika kama umeshika POWER BANK!

UNAPIKA na LIPSTICK MDOMO mwekunduuu utafikiri MTOTO wa JINI katoka KUFUNDISHWA KUNYONYA DAMU tena huku umevaa SAA! Loohh

Umevaa CULTURE zimejaa nusu ya MKONO umevaa Min SKIRT kama WAFANYAKAZI wa EMIRATES!

MSOSI wa WAKWE huwezi KUPIKA!

UKIAMBIWA hufai KUOLEWA unavuta MDOMO utafikiri umenyimwa USB CABLE ili u_bust SMARTPHONE yako!

Unaanza KULALAMIKA WAKWE HAWAKUPENDI!

Unalalamika weee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo TATIZO!

Usitake KUOLEWA ukidhani MUMEO atakula CHIPS na wewe utakuwa unakula PIZZA kila siku!

Jifunze hata KUCHEMSHA chai basi.. au unadhani GOOGLE wataleta App ambayo unaweka USB kwenye SIMU yako halafu UNAIELEKEZEA kwenye SAHANI ina_PRODUCE MSOSI!

JIPANGE DADA usidhani NDOA ni kama KUPIGA SELFIE.

Nawaombea madada woote mjali kupika maana mwanaume anahitaji kula cha kula kitama toka kwa mkewe si house girl.
2122f98edaeb7f1030308d1bee6f9bc5.jpg
f0cea76b0239055023bee282ba6b16b9.jpg
 
Lol, kumbe wanaolewa ili wapike, hahahaha kazi wanayo walai.
 
Hakuna mwanamke anayesikia kiswahili au kuweza kusoma (Maana umeandika kiswahili), anayeweza vaa hivi kwa wakwe, this is not practical ....
 
Nilichokipenda katika ' uzi ' wako siyo ulichokiandika bali ni hiyo ' Picha ' hapo ya huyo ' Totooz ' na hasa huko ' Uani ' Kwake kulivyoinuka na kunona. Mwenyezi Mungu anajua ' Kuwaumba ' hawa Watu hakyanani.
 
nimeipenda picha kwanza siwezi oa mke harafu nimpeleke nyumbani wakampime nilisha mpendwa mm basi
 
Mbona uyo wa picha anapika tu vizur sijaona tatzo
 
Chaguo lako mwenyewe hilo. Tatizo mnapenda vya kuvutia kwa nje,msambwanda sijui lipstic, makucha kama ya shetani.
.
.
Wife material anajulikana tu
 
Yukoje wengine huwa tunawadhania tu kama atakuwa anajua huyu kumbe hamna kitu
 
Kuanzia muonekano , ongea yake, story zake utajua tu kuwa huyu ni mke. Tatizo lenu mnaangalia sura na mnapenda wadada micharuko!
 
Chaguo lako mwenyewe hilo. Tatizo mnapenda vya kuvutia kwa nje,msambwanda sijui lipstic, makucha kama ya shetani.
.
.
Wife material anajulikana tu
Guys, kila mtu ni 'wife/husband material' inategemea tu muhusika anataka 'Materil' ipi. lol
Yukoje wengine huwa tunawadhania tu kama atakuwa anajua huyu kumbe hamna kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom