Special Friday

Special Friday

ha ha ha ha ha ni kweli. ha ha ha kumbe ni wewe niliona picha yako chumbani kwa Excel.

uwiiii

168765_10150131354280579_8328577_n.jpg

hahaaaa umenifananisha uyo ni queen wa excel aka miss neddy
 
Last edited by a moderator:
nilikua naangalia hiyo picha kwa makini sehemu ulipoweka mikono na miguu nikajua kweli wewe kiwembe

hahaa!! ng'ombe hazeeki maini bana!

yani kila siku nishindie supu ya pweza halafu nisipige watoto wazuri kama nyie!! lolz!
 
Back
Top Bottom