Special for men happy valentine!

angelajustine

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
8
Reaction score
3
She is cheap because she loves you
If you wanna know how expensive she is check her inbox and see how many GUYS she DISAPPOINTED just to be with you alone.

Men respect your WOMEN

Kwa niaba ya wenye mapenz ya uwongo uwongo hivi especialy so called #TeamBazaz PLUS gwiji

HAPPY VALENTINE DAY
 
Kama ni mke wangu nitamheshimu lakini viruka njia yeye nia ni kukamua pesa yako na I love u mia na kidogo,eti amekataa wangapi je ameshagawa kwa wangapi,kwa nini aliwaacha! nawe wafikiri wapendwa! ".......ndoa na iheshimiwe na watu wote."
 
Reactions: Ame
Dah umenikumbusha maisha ya zamani sana...!miaka ya 1930 huko!!!
 

Team bazazi ndo kina nani? Ni timu ya volleyball au football?
 
Mkuu umeangalia upande mmoja wa salafu' what about the other side?

Pia mwanamke kutokewa ni jambo lakawaida' ni wajibu wake kureject.
 

We mwanamke unanitafuta kudadadeki tangu lini mi bazaz?kama unanimis si useme tu hahahahha
Anyway nice thinking nimependa
 

Idadi ya wanaume aliowakaa utaikuta inbox ila idadi ya wanaume aliowakubalia hauwezi kuikuta inbox, never trust a woman !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…