Special for Bujibuji

hahahaha, karibu bujibuji, we uliza mwingine tu kama ninao nitakurushia kama sina basi hangaika na kwingine
 
nitumie mwana mpotevu wa marijani rajabu
 
yani hapa moyo umesuuzika kabisa alafu ukute uko bar bia ya tatu mziki unanogajeee alafu ufuate wimbo wa malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…