Haha halafu wanambeza kubenea na elimu yake ya hapa na pale ,nashukuru Mungu japo elimu yangu ni ya hapa na pale nilipata kuona uzuri wa walimu wa Zamani hapa Namwongelea Shayo AKA Don King na Kidunda
Haha mkuu ni Kinunda aisee typing error ,jamaa na piki piki yake ya honda 110 halafu nyumba yake pembeni ya shengenaMkuu unamuongelea Kidunda au Kinunda mzee wa Maths?
Haha mkuu ni Kinunda aisee typing error ,jamaa na piki piki yake ya honda 110 halafu nyumba yake pembeni ya shengena
Haha ndio Kyra alikua academic mchaga sijui mpare yule na roho mbaya yake upara wake na kimwili kama kipepe,Ila Kirumbuyo nlikua namkubali sana yule mzee ,Angalia kama mzee Maganga wa GS maza wetu wa kemia ,sijui wako wapi hawa wazeeDah, Shengena 25. Kulikua na Kyara kama sikosei wa nidhamu. Huyo Don King tulimpikea kwa mgomo wa kiungwana kiroho safi wakaturudishia pesa zetu tukatawanyika bila fujo yeyote. Nakumbuka ulikua mgomo wa hoja kupinga ratiba za mitihani kubadilikabadilika na ulazima wa kuchangishwa gharama za Mock wakati hata hawasahihishi hadi mnafanya mtihani wa mwisho.
Shukrani kwa kumbukumbu mkuu
Haha ndio Kyra alikua academic mchaga sijui mpare yule na roho mbaya yake upara wake na kimwili kama kipepe,Ila Kirumbuyo nlikua namkubali sana yule mzee ,Angalia kama mzee Maganga wa GS maza wetu wa kemia ,sijui wako wapi hawa wazee
Enzi hizo unakula mixer ya wali na chips kwa Eva sh 300
Ukitaka kujua kama wao watakua walimu bora, kaangalie wanachojifunza huko.
Miaka mitatu inatosha kwa mwanafunzi kusoma masomo ya advance kwa masomo ya kufundishia, na wakati huo huo, kuendelea kujifunza ualimu. Tusiwe wapingaji.
Thread imefungwa mkuu maana umenena kila kitu chaSijaona point hapo.
Vijana waliochaguliwa ni wenye ufaulu mzuri, div 1, 2 na wachache div3. Sio division 3 tu kama unavyotuaminisha.
Sio kweli kwamba, vijana waliopata F ktk masomo ya sayansi (masomo yao ya kufundishia) wamepata nafasi hiyo.
Pia sio kweli kwamba, form6 wa masomo ya sayansi, aliyepata devision 3, atakosa sehemu ya kwenda kuchukua degree. Hata st. Joseph? Unaweza kupima ni nani aliyepata div3 yuko tayari kuchukua deploma, wakati anachansi ya kuchukua degree ya fani ile ile?
Nina kumbukumbu kua, forgm6 wote wa masomo ya sayansi waliopata angalau cheti, ila wakakosa sifa ya kujiunga na chuo chochote, walichukuliwa na kupelekwa chuo cha ualimu morogoro (kwa aliyehitaji). Huko walipewa mafunzo kisha wakapewa mtihani. Waliofaulu, waliendelea na masomo ya diploma. Zote hizo ni jitihada za serikali ktk kutatua tatizo la walimu wa sayansi.
Ningekuona unafaa kama ungetoa wazo kua, serikali itoe nafasi kwa wahitimu wa vyuo mbalimbali waliokosa ajira, ambao walisoma combination za sayansi, kupatiwa mfunzo ya ualimu (kama mtu mwenyewe akitaka) ili kuongeza kasi ya kutatua tatizo la walimu wa sayansi; na sio kukosoa hatua mbalimbali zinazochukuliwa kutatua tatizo la walimu wa sayansi.
Bila kusahau maandazi yalikua yanavuma sana kwa jina la mabubu...hao walikua waalimu mkuu. Kirumbuyo Second Master alikua mzungu sana, mwaka wetu ilitaka kutokea patashika kuhusu Practical kati ya PCB na PCM, ikabidi nimweleze hali halisi ndio akatangaza kwamba PCM watafanya paper 1 Physics na PCB Paper 1 Chemistry ili kuondoa fitina japo nilikua chachu kwenye ule mgomo wa kumkaribisha Don King.
Mwalimu aliyekua anakera ni Lisapita, vijana wa O' Level waliandika barua ya vitisho wakisema hawatarudi nyuma hata 0.5 mm endapo maharage (Chakula cha nguruwe hayatabadilishwa), vijana walikua na mambo sana, hapo sijakumbushia mambo ya kimeta........
Hii nayoilipelekea nimshauri Rwamwasi kua aanze kuchanganya vijana wa O level kutoka mikoa tofauti tofauti ili kuua ile hali ya wanafunzi wengi wa O level kutokea Kilimanjaro na Arusha.