CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Zaeni matunda mema,
Zaeni yenye baraka,
Bwana atayapokea,
Yatabarikiwa naye,
Zaeni ya heri.
Source: tenzi za rohoni
Nawatakieni heri,baraka na furaha tele katika fungate lenu na kila mkitofautiana kumbukeni kusameheana 70x70.
The weak never forgives,the strong always do...Mahatma Ghandi.
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija,
Ziarani Pemba.
weeeeeeeeee tena umkome mwangu manoah enh! nani alikwambia kwamba ni mtoto??
FYI amefundwa kiume mwanangu na anajua wajibu wake kama mume na sio kama mtoto wa kiume.
muulize kaka yake mkubwa Ronn M.
Bishanga baba asante kwa baraka tele kwa mwanangu kipenzi upili wangu. ndoa yake najua itadumu kama ilivyodumu ya kaka yake Ronn M na jeneneke.
:lying::lying::lying:
:crying::crying::crying::crying::crying:
Bishanga nasikia ana nyumba ndogo vp hayo ya kweli?
Yours is marriage made in heaven stevoh......haina mfano humu jf kwa raha na utulivu wake.
Zion Daughter you are the best wife.