Mkweli mwaminifu Member Joined Feb 7, 2012 Posts 89 Reaction score 24 Apr 22, 2013 #1 Natafuta msichana wa kutoka nae kila mwisho wa mwezi... SIFA: 1: awe anapatikana dodoma au singda. 2:awe mweupe 3:asiwe mnene /tumbo wala kitambi 4:awe msafi anayenukia na mwenye sura ya mauzo nb. Niko siriaz. MAWASILIANO 0786349203.
Natafuta msichana wa kutoka nae kila mwisho wa mwezi... SIFA: 1: awe anapatikana dodoma au singda. 2:awe mweupe 3:asiwe mnene /tumbo wala kitambi 4:awe msafi anayenukia na mwenye sura ya mauzo nb. Niko siriaz. MAWASILIANO 0786349203.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,204 Reaction score 99,943 Apr 22, 2013 #2 acha utani na dada wa wenzako bhana. kweli wewe dada yako afanywe kiburudisho hivyo utakubali????
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Apr 22, 2013 #3 Duuh iyo nzuri yaani mwisho wa mwezi baada ya kupokea kamshahara
Mkweli mwaminifu Member Joined Feb 7, 2012 Posts 89 Reaction score 24 Apr 22, 2013 Thread starter #4 Wajameni mambo ya dijitali jaman ni vizur kuexpress my desire
F Furahatuu Senior Member Joined Apr 11, 2013 Posts 115 Reaction score 40 Apr 23, 2013 #5 sura ya mauzo kwani unaenda kumuuza,
Mkweli mwaminifu Member Joined Feb 7, 2012 Posts 89 Reaction score 24 Apr 25, 2013 Thread starter #6 Hehehehee! Nishapata kamoja
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Apr 25, 2013 #7 Ha ha ha ha
Rock City JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 1,266 Reaction score 505 Apr 25, 2013 #8 Mkweli mwaminifu said: Natafuta msichana wa kutoka nae kila mwisho wa mwezi... SIFA: 1: awe anapatikana dodoma au singda. 2:awe mweupe 3:asiwe mnene /tumbo wala kitambi 4:awe msafi anayenukia na mwenye sura ya mauzo nb. Niko siriaz. MAWASILIANO 0786349203. Click to expand... Sifa # 4 (anayenukia), unaweza kupata wenye majini maana ndio wanukiao zaidi. Umakini.
Mkweli mwaminifu said: Natafuta msichana wa kutoka nae kila mwisho wa mwezi... SIFA: 1: awe anapatikana dodoma au singda. 2:awe mweupe 3:asiwe mnene /tumbo wala kitambi 4:awe msafi anayenukia na mwenye sura ya mauzo nb. Niko siriaz. MAWASILIANO 0786349203. Click to expand... Sifa # 4 (anayenukia), unaweza kupata wenye majini maana ndio wanukiao zaidi. Umakini.
Rapunzel JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,079 Reaction score 601 Apr 26, 2013 #9 Duh! Hii kali sas .........kila mwezi utakuwa unatoka na mwanamke tofauti? Sijaelewa kidogo hapo!
Mkweli mwaminifu Member Joined Feb 7, 2012 Posts 89 Reaction score 24 May 3, 2013 Thread starter #10 Akinishka ntashkika 🙂
mysteryman JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 1,080 Reaction score 393 May 3, 2013 #11 kaka kuwa makini huko mchumba wangu yupo singida huko kaenda kusalimia wazazi na ana sifa zote ulizozitaja na zaidi....usituletee uharibifu bana oohoo.....!!
kaka kuwa makini huko mchumba wangu yupo singida huko kaenda kusalimia wazazi na ana sifa zote ulizozitaja na zaidi....usituletee uharibifu bana oohoo.....!!
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 May 3, 2013 #12 nilichelewa kuona hii hadi mwisho wa mwezi tena
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 May 3, 2013 #13 Kongosho said: Ha ha ha ha Click to expand... mwisho wa mwezi kuna mambo
4 445sh Member Joined Apr 26, 2013 Posts 25 Reaction score 0 May 3, 2013 #15 mzeee vp unangoma nini? kama uko fresh tu poa usiue wa sisters zetu kaka nafikiri umenielewa