M mgoshawampasa Senior Member Joined Jul 30, 2014 Posts 105 Reaction score 27 Jul 5, 2015 #1 Baada ya Muswada wa Petroli, sasa napata mantinki kwa nini Speaker asiwe Mwanachama wa Chama cha siasa.
Baada ya Muswada wa Petroli, sasa napata mantinki kwa nini Speaker asiwe Mwanachama wa Chama cha siasa.
vevenononombo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 1,289 Reaction score 421 Jul 5, 2015 #2 Nalo neno hilo
B bullion JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 309 Reaction score 112 Jul 5, 2015 #3 mgoshawampasa said: Baada ya Muswada wa Petroli, sasa napata mantinki kwa nini Speaker asiwe Mwanachama wa Chama cha siasa. Click to expand... Kaka umeniwahi hili jambo nimelifikiria sana, usiku wa kuamkia leo.
mgoshawampasa said: Baada ya Muswada wa Petroli, sasa napata mantinki kwa nini Speaker asiwe Mwanachama wa Chama cha siasa. Click to expand... Kaka umeniwahi hili jambo nimelifikiria sana, usiku wa kuamkia leo.
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,365 Reaction score 3,657 Jul 5, 2015 #4 msaada......kuna mfano wowote wa mabunge ya wenzetu yaliyowahi kuongozwa na spika asiye na upande wowote?
msaada......kuna mfano wowote wa mabunge ya wenzetu yaliyowahi kuongozwa na spika asiye na upande wowote?
K kiambasabo Senior Member Joined Jun 23, 2015 Posts 103 Reaction score 27 Jul 5, 2015 #5 Dah nimetokea kuchukia sana kinachoendelea mjengoni na ctak kuamini kama ni Kweli.
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 Jul 5, 2015 #6 Hapo ndo umuhimu wa kupiga kura za hasira unapokuja
S samvande2002 JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 413 Reaction score 35 Jul 5, 2015 #7 spika kazingua sana....anabeba upande mmoja mwanzo mwisho,,sasa sijui ni kwa manufaa ya nani? au labda yeye sio mwananchi wa tz?
spika kazingua sana....anabeba upande mmoja mwanzo mwisho,,sasa sijui ni kwa manufaa ya nani? au labda yeye sio mwananchi wa tz?