Her behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
It is said, no research, no right of speech.Her behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
It is said, no research, no right of speech.
Are you sure of what you have said?
No, her behaviour is typically for any woman who has never been a 'woman', has never had a boy/man friend, gone to fetch water nad carry it by her head, felt what it means by missing a manHer behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
No, her behaviour is typically for any woman who has never been a 'woman', has never had a boy/man friend, gone to fetch water nad carry it by her head, felt what it means by missing a man
Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe
Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe
Ukiwasiliza na kutazama wabunge wetu kilicho dhairi siyo tu ushindani wa kisiasa, sasa hivi kuna uadui dhairi wa personality. Kuna wabunge wakisimama tu kuna wenzao wanaanza kutoa maneno makali na ya chuki hata kama hawajaruhusiwa kuzungumza, na spika anamezea. Ile dhana kwamba wakiwa nje ya ukumbi wa bunge ni marafiki sina hakika kama ni sahihi kihivyo!Mkuu Lunyungu, kuhusu uwezo wa duni, uwezo mdogo na lack of confidence aliyonayo Spika, Mhe. Anna Makinda, tumeisha lizungumza sana hili!. Akidi haijatimia!, ila kwa vile wabunge wote ambao hawapo, wameomba rasmi ruksa kwa spika, hivyo ni spika ndiye anajua wako wapi, hiv yo hata kama wanaonekana hawapo physically, uwepo wao by imagination upo, hivyo wanahesabika wapo, na akidi imetimia!.Nilisema juzi juzi, hawa wabunge wa Chadema, wanatuharibia sana bunge letu!. Wanamkosesha amani spika wetu na naibu wake kwa kuwaendesha puta, hadi kukiuka/kuvunja, kupindisha na kuunda kanuni mpya kinyume cha sheria!.Nilishauri, kama Chadema wamekuwa mwiba hadi kugeuka kero, bora hiki chama kifutwe tujue moja!. Pasco.
Katika maamuzi magumu na hasa bunge linapokaa kama kamati kupitisha bajeti,wakiwa wanaipitia kifungu kwa kifungu kutoa udhuru kwa mjumbe wa kamati husika na ikapelekea hata ile nusu ya wajumbe ikawa haijafikia hakuwezi kuhalalisha maamuzi hayo yakawa yameamuliwa na kikao halali.kimsingi mama huyu ni tatizo kabisa,na nilikuwa najiuliza ni kwanini hakutaka hata kujiridhisha?kanuni haisemi kuwa kama wabunge wameomba ruhusa kiasi cha kuathiri akidi kwa kiasi kikubwa hivyo ni makosa makubwa.
Mkuu usemayo ni sahihi kabisa,nimeshuhudia nikashutuka sana kama sio kukulia kwenye maadili kidogo tusi la Serukamba linitoke kwa hasira. Pale alikuwa anaona kama anamkomoa Lissu kumbe anakidhalilisha kiti,chama chake na viongozi wa serikali walioko Bungeni kwamba hata wao wanakubaliana na uvunjifu wa kanuni zilizowekwa.Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?
Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?