Spea za Laptop/Kompyuta zipo hapa

Spea za Laptop/Kompyuta zipo hapa

Naweza Pata screeen ya acer mini laptop kwa bei gan,,?
Na unapatikana maeneo gani,?

Unapata mkuu..we nicheki kwa namba yangu make huku nshaona kuna watoto humu
 
Wakuu sikuwa karibu na mtandao wa intaneti hivyo naomba radhi kwa kuwacheleweshea huduma. Kwa kurahisha tuwasiliane kwa namba zangu hapo juu.
 
kaka Naweza Pata Spika za Ndani za Laptop aina ya Toshiba Dynabook AX/530LL na keybord yake. Asante
 
Naomba bei za screen za Dell mkuu katika size tofauti tofauti.
 
Natafuta screen ya Acer 15.6" unaweza kuwa nayo, na kwa bei gani?
 
Hello, mimi nahitaji battery ya laptop (toshiba) model NO.PA3451U-1BRS
Unayo? bei gani hadi niipate arusha
Asante mparee
 
Mkuu battery ya Hp Compaq presario V6000 series na AC adapter yake unavyo? Na ni bei gani kila kimoja?
 
Back
Top Bottom