Spea za Laptop/Kompyuta zipo hapa

Spea za Laptop/Kompyuta zipo hapa

Damson88

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
259
Reaction score
24
Kama unahitaji Spea za computer/Laptop kama display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa SMS/WHATSAPP 0713218388. Popote ulipo utafikishiwa.
 
Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa Whatsapp au kawaida 0713218388 popote ulipo utafikishiwa.
unabetri ya lenovo G450?
 
nahitaji keyboard ya dell latitude d 630 inapatikana na ni shs ngap?
 
Una betri za UPS? na kama unazo,unauza kiasi gani?
 
kama unavyotegemea kuikuta ndivyo ilivyo. ukitaka nicheck kwa hiyo namba ya simu nami nipo hapahapa
 
Nahitaji speaker za ndani kwa ajili ya mini laptop hp vp naweza kupata
 
Naweza Pata screeen ya acer mini laptop kwa bei gan,,?
Na unapatikana maeneo gani,?
 
Natafuta battery ya Satellite L10 - 194
model no PSL10E-02100UG3
Plzz naomba uni inbox
Maana sidhani kama ntakua alerted na reply ya umu ndani mapeema
Thanks
Na bei kama ipo
 
Hi Damson. Nahitaji key board ya Toshiba Satelite...bei gani?
 
Back
Top Bottom