Ni lak 3 na nusu au elfu 35.? Naona kama sifur zipo nyingihipo ni 350000
huduma zote unapata, hiyo HP ni aina gani?
Ni lak 3 na nusu au elfu 35.? Naona kama sifur zipo nyingi
Mkuu hapa dar mko maeneo gani kesho nitimbe, nina laptop mbili, moja shida ni adaptor, ya pili battery, hii moja ni hp, haka kengine nililetewa hata sikajui vizuri, nikija nako naamini ntaweza pata solution
hipo ni 350000