sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,162
Naomba msaada wa kufahamu wapi nitapata spare parts za Mitsubishi. Nahitaji Engine valve na gasket kit yake. Kwa kuwa nimekata sylinder head nahitaji hizo valve zimepinda baada ya timing belt kukatika. Engine type ni 3G83...U42T chasis type