Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

Joined
May 2, 2025
Posts
29
Reaction score
22
Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa imeunguza wiring za gari. Juma akalipa hela ingine zaidi kurekebisha mess hiyo! Badala ya kuokoa, alijikuta gerejini kwa siku nne.
255jerry_1744730145869.jpeg


Umenunua spare part ya bei rahisi ikakuletea shida gani? Au unapata autoparts za original wapi?
Kwa wale wanaotafuta spare parts za kuaminika, gereji kama Jerry Spare Parts and Services huko Regent Street, Victoria, Dar es Salaam, zinasifika kwa huduma za ubora.
Tembelea garage yetu Regent Street, Victoria, Dar es Salaam, piga simu 0715 666 656, au ututumie ujumbe kwenye Instagram @255jerry. Unaweza pia kuangalia video zetu kwenye YouTube channel Thegear kwa maelezo zaidi kuhusu kazi zetu.​
 
Back
Top Bottom