Spare Avatar Kwa Mtu Maalum!

Sawa ya chagga basi msubiri anajipodoa na usichoki kumsubiri na cha mvunguni sherti uiname
 
Ondoa hilo bonge la swali kichwani mwako Mshana Jr.Hiyo rose niliipenda sana nikaona linamfaa miss chagga. Sina cha zaidi ya hapo kiongozi wangu!

SHIEKA hakuna shida ndugu yangu kinachoniacha na maswali ni Huyu bidada MISS CHAGGA alivyo na ndele kali yani haipiti wk bila kukosa post ya kumfyagilia
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA hakuna shida ndugu yangu kinachoniacha na maswali ni Huyu bidada MISS CHAGGA alivyo na ndele kali yani haipiti wk bila kukosa post ya kumfyagilia

Na nimefanikiwa kupata foto yake original kabisa natural beauty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…