Uwezo wa Xavi na Iniesta ni mzuri..ila hawana jipya. Nafikiri wangemchezesha..Carzola au Fabregas ili angalau kuweka mtindo tofauti. Sasa Brazil walichezesha mafundi wazuri wa kutibua mbinu za wapinzani wao: PAULINHO & LUIZ GUSTAVO.
Katikati walizuia mashambulizi ya adui, kisha wakaendelea kutumia uimara wao, Brazili wanashambulia vizuri sana kutokea pembeni, kwa DANI ALVES & MARCELO...Kipa pia alicheza vizuri sana..SCOLARI ni kocha mzuri pia. Hasa anapofundisha timu ya taifa.