KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,797
- 86,566
Kwa alie na space movies kali asisite kutupia jina la movie hiyo, ili tujifariji wapenzi wa movie hizo kipindi hichi Cha karantini..
Sifa zisiwe na uongo mwingiiii.. hiyo ni kwangu binafsi ila kwa niaba ya wengine itakuwa vyema ukitupia jina hata kama imekolezwa manjonjo😅
Ila iwe ni space movie Kali..
Kama ulishaziona hizi utajua napendelea za aina ipi..
MARTIAN
LIFE
INTERSTELLAR
AD ASTRAL.. list bado itaendelea.
Karibuni waungwana..