South African Unique Songs (addiction) Shuhudia Ladha za Kipekee

Nadhani kichwa cha thread kinajieleza,
kwa upande wangu mimi nimejikuta kwa muda mrefu napenda sana miziki/nyimbo kutoka S.A, na hii ni kutokana na upekee wa nyimbo hizo zina ladha ya tofauti sana!!

Kupitia thread hii nitakuwa nawawekea list ya nyimbo hizo ambazo najua hautojutia muda wako kuzisikiliza!

Ikumbukwe kwamba hizi sio zile kwaito ulizozoea kuziskia maana wengine wakisikia South Africa wanawaza Kwaito tu kumbe hawajui kama kuna miziki mizuri tu na yakipekee!
John vuli gate
 
Big zulu - imali eningi
Ndiyo habari ya town
Hii ndiyo ngoma kali inayoenda kufunga mwaka hapo dzonga
 
Back
Top Bottom