Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,129
- 7,450
Uzi unataka ladha za KiSA Anyway Naona Unajihami ...Hakuna sehem nimesema kua ni wa SA
Nimekusahihisha Tuu sijataka Kubishana na wewe Mkuu
Uzi unataka ladha za KiSA Anyway Naona Unajihami ...Hakuna sehem nimesema kua ni wa SA
Remix yake nayo tamu haswaUmeniwahi mkuu kuweka nyimbo ya mlindo -Amablesser ni bonge ya pini
Mlindo ft Kwesta &thabsie -Macala mkuu nisaidie iyo nimeitafuta nimetoka kapaNitajitahidi nifanye ivyo mkuu
Yap rayvanny kaumuza hatari...Remix yake nayo tamu haswa
Umenikumbusha mbali sanaTkzee- shibobo
TKZee - Dlala Mapantsula
Hata ulaya ubaguzi upo huoni kina etto, Rashford na wengineo wanavyobaguliwa huko?Sawa tatizo Lao ubaguzi
Samahani Mkuu!
Naomba nisaidie kupata nyimbo za Kwaya (gospels) zenye mahadhi ya South Africa.
Master KG- JerusalemBlaq Diamond -Ibhanoyi
Oouh ni master KG kumbe....Master KG -jerusalem
Sent from my iPhone using JamiiForums
Malwedhe ndo nomaKing Monada - Jerusalem
Kwaito amaKuna zile bits tupu zile wanaita South Africa instrumental nazitafuta Sana nakumbuka enzi hizo kwenye zile harusi za kipapaa ndo zilikuwa zinapigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nilikosea ameimba Master Kg..amenisahihisha kijana pale juu.Malwedhe ndo noma
Hiyo Jerusalem nayo ni hit song kama malwedhe...?Hiyo nilikosea ameimba Master Kg..amenisahihisha kijana pale juu.
Malwedhe ilikuwa hit ila Jerusalem ndiyo habari ya mjini
Ndiyo mkuu.Hiyo Jerusalem nayo ni hit song kama malwedhe...?