Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Ngoja nikaisikilizeNdiyo mkuu.
Ngoja nikaisikilizeNdiyo mkuu.
Nilikuwa nazo sema simu yangu ilipotea
Nadhani kichwa cha thread kinajieleza,
kwa upande wangu mimi nimejikuta kwa muda mrefu napenda sana miziki/nyimbo kutoka S.A, na hii ni kutokana na upekee wa nyimbo hizo zina ladha ya tofauti sana!!
Kupitia thread hii nitakuwa nawawekea list ya nyimbo hizo ambazo najua hautojutia muda wako kuzisikiliza!
Ikumbukwe kwamba hizi sio zile kwaito ulizozoea kuziskia maana wengine wakisikia South Africa wanawaza Kwaito tu kumbe hawajui kama kuna miziki mizuri tu na yakipekee!
Mlindo ft Kwesta &thabsie -Macala
Cici -Amandla Akho
Donald -Landela Remix
The Nameless Band-Masiyeke
Miss Pru- Wena wedwa
Cici - Ndidinge
Miss pru -Sondela
Sjava- Umama
Mlindo - Amablesser
Hamna kitu..Bora nisikilize a..e..i..o..UNO.Umeniwahi mkuu kuweka nyimbo ya mlindo -Amablesser ni bonge ya pini
Stunter....Nadhani kichwa cha thread kinajieleza,
kwa upande wangu mimi nimejikuta kwa muda mrefu napenda sana miziki/nyimbo kutoka S.A, na hii ni kutokana na upekee wa nyimbo hizo zina ladha ya tofauti sana!!
Kupitia thread hii nitakuwa nawawekea list ya nyimbo hizo ambazo najua hautojutia muda wako kuzisikiliza!
Ikumbukwe kwamba hizi sio zile kwaito ulizozoea kuziskia maana wengine wakisikia South Africa wanawaza Kwaito tu kumbe hawajui kama kuna miziki mizuri tu na yakipekee!
Playlist yangu imejaa nyimbo zaoJamaa wako vizuri sana.. Hata Ibhanoyi unafanya vizuri sana!
Kumbe master unawafuatilia
...DaahHey Amatombazane sio ya Rick Ricky
Muziki wao ni mkubwa saana....hata zaidi ya Nigeria.Taratibu watu wataanza kuwaelewa, naona MasterKG amewafungulia mlango.