South African Unique Songs (addiction) Shuhudia Ladha za Kipekee

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Nadhani kichwa cha thread kinajieleza,
kwa upande wangu mimi nimejikuta kwa muda mrefu napenda sana miziki/nyimbo kutoka S.A, na hii ni kutokana na upekee wa nyimbo hizo zina ladha ya tofauti sana!!

Kupitia thread hii nitakuwa nawawekea list ya nyimbo hizo ambazo najua hautojutia muda wako kuzisikiliza!

Ikumbukwe kwamba hizi sio zile kwaito ulizozoea kuziskia maana wengine wakisikia South Africa wanawaza Kwaito tu kumbe hawajui kama kuna miziki mizuri tu na yakipekee!
 
Fanya kama Uzi wa huyu mwamba hapa, ameweka nyimbo zote za mahadhi ya kiafrica, zaidi sana Congo.

 
Mtafute mtu mmoja anaitwa Musasa. Yeye ni mjuzi wa mziki na wanamziki wa Africa kusini
 
Sio wewe tu mimi mwenyewe naona nimekuwa mlevi kabisaa haipiti siku bilakuzisikiliza
 
Ziweke hapo Baan tuzisikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…