South Africa ya mpiga Netanyahu kwenye mshono

South Africa ya mpiga Netanyahu kwenye mshono

[emoji599][emoji1134] The following countries have endorsed South Africa’s GENOCIDE CONVENTION LAWSUIT against ISRAEL at the International Court of Justice:
[emoji1157]Malaysia
[emoji1250]Turkey
[emoji1050]Bolivia
[emoji1182]Nicaragua
[emoji1158]The Maldives
[emoji1263]Venezuela
[emoji1176]Namibia
[emoji1137]Jordan
[emoji1173]Morocco
[emoji1130]Iran
[emoji1042]Bangladesh
[emoji1191]Pakistan
[emoji1210]Saudi Arabia
#FreePalestine #Gaza #GazaGenocide
 
Wavaa kobazi endeleeni kujifariji hiyo mahakama itaifanya nini Israel ili hali ilishindwa kumkamata Omar al Bashir aliyeua waislamu kama kuku
Issue ni records na heshima ya nchi ndio maana unaona israel leo kasimama icj kama perpetrator na sio victim kama tulivyozoea maana miaka yote amekuwa akibebwa na dunia kama muhanga ila leo amesimama na kugeuka muuaji.
Dunia nzima leo imeipa heshima southafrica na image ya israel imeharibika ndio maana katuma mawakili wa utetezi ,kama haina madhara asingetuma mawakili, mawazo ya israel sio kama yako ukishaahba dona
 
Back
Top Bottom