Sikuhizi dunia ni kijiji, moja kati ya vitu ambavyo haviwezi kuwa controled ni mzunguko na muingiliano wa watu.. nafikiri njia sahihi ni serikali ya SA kuweka sheria rafiki ambazo kwazo uwepo wa wahamiaji hauto athiri wazawa.mkuu kingine ni ahadi alizotoa raisi wao kabla ya kuingia madarakani, kwamba angewafukuza wahamiaji ili nafasi ya kazi itokee, so walikua wanamkumbusha Cyril ahadi yake!
It takes courage to be true.. aliyo yasema ni ukweli mtupu.
Target ya kila businessman ni kupunguza operating cost.. kama ni rahisi kupata cheap labour wahamiaji na hakuna sheria zozote zinazowaongoza namna ya kuajiri tatizo haliwezi kuisha.. Malema amepoint matokeo ya tatizo na sio tatizo lenyewe.Ukifuatilia hutuba ya Malema aliyotoa hivi punde utagundua kwamba watu weupe wanaomiliki biashara kubwa kubwa ndio hao wanaoanzisha mzozo huu, malema anasema ni kwanini unafungua biashara na kumuajiri mtu kutoka nje wakati wa hapa ndani wapo? analaumu watu weupe kuwa wapo na ajenda ya siri kutufanya weusi tuuwane sisi kwa sisi. Yeye anasema kinachoitwa Private sector ni maneno yenye ladha kuyatamka ambayo yanaficha tusi kubwa ikiwa na maana ya weupe kuwatalawa weusi
Target ya kila businessman ni kupunguza operating cost.. kama ni rahisi kupata cheap labour wahamiaji na hakuna sheria zozote zinazowaongoza namna ya kuajiri tatizo haliwezi kuisha.. Malema amepoint matokeo ya tatizo na sio tatizo lenyewe.
"Kuna jumla ya wahamiaji millioni 2.3 wanaoishi SA, idadi hii inajumuisha waafrika kutoka nchi zingine za afrika, wachina, wabangladesh, wahindi na waeurope wasio wazawa wa SA. Milioni 1.6 ya wafrika ni wajasiriamali wadogo wa maduka na wa barabarani. Jumla ya mali zao ni chini ya asilimia 0.00001% ya mali za SA.
Waeurope/wazungu ni asilimia 8.7% ya population na wana controls zaidi ya asilimia 85% ya mali za SA. Idadi hii ni kama 6000 ya familia za kizungu wanaomiliki asilimia 85% ya arthi ya SA.
Nasema kwamba hasira yenu na jeuri yenu haipo mahala pake. wahamiaji wa kiafrica hawamiliki ardhi, hawamiliki kampuni za migodi, hawamiliki trophy hunting companies, hawapeleki fedha za kigeni katika mabenki ya ulaya.
Yenu ni hasira ya kibaguzi iliyojengeka kutokana na inferiority complex iliyotengenezwa na miongo ya ubaguzi wa rangi na unyonywaji. siwaoni waafrika wengine kama washindani bali kama wananchi wenzangu wanaohangaika kilisha familia zao na kupata matumaini katika maisha haya mafupi.
Kama mnahisi mgawanyo wa mali usio sahihi tafadhali fanyeni utafiti upya wa nani ana control na kushikilia mali. na haihusiani na mnaigeria, mmozambique, au mzibabwe anaefanya kazi mgahawani. au methiopia anaye uza duka la rejareja. au makenika mghana anayefanya kazi za nguvu juani."
NI MANENO KUNTU KUTOKA KWA TREVOR NOAH, MMOJA KATI YA WASOUTH AFRIKA WENYE AKILI KUBWA.
#SAYNOTOXENOPHOBIA
wamemuachia kivipi ilhali wa SA wenyewe wanalia hawana ajira..Nchi za Africa zijenge mazingira bora kwa raia wao. Naona jukumu wamemuachia South Africa.
Nafikiri hasira zao wangezielekeza kwa serikali yao, wahamiaji wa kiafrika ni watafutaji tu wanaangali sehem wanayoweza pata pesa kirahisi. Sheria zikikaa vyema hata wahamiaji wanaweza pungua bila kutumia nguvu.Na kwa nini ufanye hivyo? unajua madhara ya kuajiri cheap labour kutoka mataifa mengine kwa nchi yako? mi ninachodhani hapa ni kuwa bado SA wanatumia sharia zile zile za mkoloni ingawa nchi sasa wanatawala wazawa, mimi nipo ughaibuni pia lakini sheria za hapa zinampa umuhimu mkubwa kwanza mzawa wa nchi, SA uchumi wake ni mkubwa na kama watakuwa na utaratibu mzuri kwa wanachi wake sidhani kama Unemployment rate ingekuwa kubwa kama iilvyo hivi sasa.
Sheria za Kuajiri wageni wahamiaji Afrika Kusini ni Kali sana, usidanganywe. Nimeahi kuishi na kufanya kazi Afrika Kusini, nafahamu vizuri kuhusu hili.Target ya kila businessman ni kupunguza operating cost.. kama ni rahisi kupata cheap labour wahamiaji na hakuna sheria zozote zinazowaongoza namna ya kuajiri tatizo haliwezi kuisha.. Malema amepoint matokeo ya tatizo na sio tatizo lenyewe.
Hao watu sio wajinga wanajua wsnachofanya, kabla walikua wanawachukia makaburu kupita kiasi lakini baada ya dunia kua kijiji wameshaona mataifa yaliyowafukuza hao wazungu wanaomiliki biashara yalivyo. Hao wote wanaopambana nao mtaani walikotoka kuna mapori ya kutosha kuna rasirimali za kutosha. Kama watu wanakimbia sehemu ambayo beberu alifukuzwa na badala yake anakimbilia aliko beberu basi tatizo sio beberu.Ukifuatilia hutuba ya Malema aliyotoa hivi punde utagundua kwamba watu weupe wanaomiliki biashara kubwa kubwa ndio hao wanaoanzisha mzozo huu, malema anasema ni kwanini unafungua biashara na kumuajiri mtu kutoka nje wakati wa hapa ndani wapo? analaumu watu weupe kuwa wapo na ajenda ya siri kutufanya weusi tuuwane sisi kwa sisi. Yeye anasema kinachoitwa Private sector ni maneno yenye ladha kuyatamka ambayo yanaficha tusi kubwa ikiwa na maana ya weupe kuwatalawa weusi