Pezzonovante
JF-Expert Member
- May 1, 2008
- 638
- 41
Msibabaike sana na fifaa. Waarabu wanavifaa vya bei sana lakini hawajui kupigana. Wamerekani wanaogopeka kwasababu wanapigana kirtahisi ukiwaingilia hawaogopi kupeleka wanajeshi na kufa vitani. China ni waoga wa kupigana. Tanzania hatuna vifaa vingi lakini tukikasirika hakuna anayetuweza East Africa kwasababu hatuogopi kupigana pamoja na upole wetu.
kama huo mzinga una anwani ya mtumaji atajua cha mtemakuni na silaha zetu duni tutaenda kukomba mizinga yakeEndelea kujipa moyo, mtu anakurushia rocket kutoka umbali wa Km 1,000 tena inaingia chumbani kwako kisha ndo inalipuka, hasira sijui utamtolea nani.
Msibabaike sana na fifaa. Waarabu wanavifaa vya bei sana lakini hawajui kupigana. Wamerekani wanaogopeka kwasababu wanapigana kirtahisi ukiwaingilia hawaogopi kupeleka wanajeshi na kufa vitani. China ni waoga wa kupigana. Tanzania hatuna vifaa vingi lakini tukikasirika hakuna anayetuweza East Africa kwasababu hatuogopi kupigana pamoja na upole wetu.
Msibabaike sana na fifaa. Waarabu wanavifaa vya bei sana lakini hawajui kupigana. Wamerekani wanaogopeka kwasababu wanapigana kirtahisi ukiwaingilia hawaogopi kupeleka wanajeshi na kufa vitani. China ni waoga wa kupigana. Tanzania hatuna vifaa vingi lakini tukikasirika hakuna anayetuweza East Africa kwasababu hatuogopi kupigana pamoja na upole wetu.
Nani kakwambia vita ya kumng'oa Amin ndo kigezo?! TPDF imepigana vita nyingi mno, rudi tu ukajifunze upya. Halafu kwa taarifa yako kuwa na vifaa ni muhimu lakini vifaa siyo kila kitu kama unavyosema... Jifunze kuhusu vita mbalimbali duniani utajua hilo.Hahahaha.. wabongo wanapenda kusema hivi bana daah! vifaa ndo kila kitu aise.. naona unakosea sana kusema eti nyie kivita ndio wababe East africa, yani ile vita ya kumngoa nduli Amin ndio inakua kigezo.. hahahaha, walahi Recce Unit ya GSU wanaweza tawanya jeshi lenyu mbaya.. dont mess with Kenya bruh.
Peace
Nani kakwambia vita ya kumng'oa Amin ndo kigezo?! TPDF imepigana vita nyingi mno, rudi tu ukajifunze upya. Halafu kwa taarifa yako kuwa na vifaa ni muhimu lakini vifaa siyo kila kitu kama unavyosema... Jifunze kuhusu vita mbalimbali duniani utajua hilo.
sawa mkuu, lakini nikisema vita ya kumngoa Amin na maanisha vita za kitambo, zile za ku liberate southern african countries.. sina ubaya lakini, just voicing my opinions