Zack
Member
- Jun 22, 2012
- 18
- 3
Weekend hii mida ya jioni tukiwa tunajiaandaa kwenda kwenye part ya harusi ya rafiki yetu ndipo mada hii ilipozuka na kutuchanganya wadau.
Baadhi yetu tukasema upendo ndio chanzo kikuu cha ndoa lakini tulipata upinzani mkali toka kwa upande mwingine wakisema kipato ndio chanzo cha ndoa.
Hoja ikawa ni hivi kwani kijana anaweza akaoa au kuolewa na wakaishi vizuri kutoka na kuwa na upendo baina yao ingalikuwa wanaweza kuwa na kipato kidogo,lakini upande mwingine wakasema kwanza kufunga harusi tu lazima uwe na kipato(kutokana na gharama za harusi kipindi hiki)
Hatuweza fika conclusion so naomba wadau mchangie pia ili kuweza kupata conclusion nzuri.