Sound Muffler for Conference room

Sound Muffler for Conference room

Joined
Nov 17, 2011
Posts
40
Reaction score
7
Wasalaam,

Tunahitaji mtu/kampuni/taasisi itakayotushauri na ikiwezekana kutufungia "sound muffler" au kifaa kingine chochote kitakachoweza kurekebisha sauti kwenye chumba cha mikutano jijini Dar es Salaam.

Kimsingi chumba hicho ni kipya na tatizo lililopo ni kuwa mkiwa katika mkutano, kunakuwa na mwangwi wa sauti (sound echo)inayosababisha kutokusikilizana sawasawa.

Tafadhali kwa yeyote anayefahamu hao wataalam anaweza kunitajia hata jina lao tu niendelee kuwasiliana nao.

Natanguliza shukurani.

LP
 
Mnahitaji acoustics, kuna dogo mmoja alishawahi kunifanyia kazi hiyo, japo hakikuwa chumba cha kiwango cha ukumbi lakini nilimwona anaelewa anachokifanya na alifanya kazi ikawa kama ameongeza decoration kwenye chumba kikapendeza zaidi. Alichofanya alikuja akafanya test zake na kunielekeza vitu vya kununua nikaagiza china akaja kufunga nikamlipa gharama zake tu.
 
cc: Landed Property
 
Last edited by a moderator:

Asante sana ndg Cyberteq kwa taarifa hizi.
Hata sisi tuna chumba cha wastani kama sqm 60, siyo kikubwa sana. Please naweza pata mawasiliano yake (Email/simu/...)?

Natanguliza shukurani.

LP
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom