Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Wewe babu zako si sikinde hizo unazijua?Ntakuimbia tu siku ikifika...
Wewe babu zako si sikinde hizo unazijua?Ntakuimbia tu siku ikifika...
Una hela au kupigizana makelele tuNjoo nikuimbie
Wewe bhana... haya bhanaWewe babu zako si sikinde hizo unazijua?
Anhaaa.... kumbeee...Una hela au kupigizana makelele tu
wewe unataka uimbiwe au unataka hela? kuwa wazi kama unataka hela sema unataka hela, siwezi kukuimbia afu nikupe hela chagua kimoja.Una hela au kupigizana makelele tu
Mie nataka hela kuimbiwa tumuachie Kasiewewe unataka uimbiwe au unataka hela? kuwa wazi kama unataka hela sema unataka hela, siwezi kukuimbia afu nikupe hela chagua kimoja.
Kwani nini bhana?Wewe bhana... haya bhana
Poa tuKwani nini bhana?
haya sawa umeeleweka.Mie nataka hela kuimbiwa tumuachie Kasie
Nitumie hela babu yangu......uone kama sijakuimbiaAnhaaa.... kumbeee...
Leo mda huu nataka kuona muamala wa mpesa au tigo pesa kwenye simu yanguhaya sawa umeeleweka.
unataka kupewa helalini? ila ujue ukijua kupokea na wewe ujue kutoa sawa eeh?
Aaaah unatuma hiyo hela eeeh.Ndio maana nakupendagaPoa tu
Mamaaa siku hizi ni nipe nikupe. ukitaka pesa njoo uchukue tigopesa wanatumiwa wanafunzi shulen sio watu wazima kama nyieLeo mda huu nataka kuona muamala wa mpesa au tigo pesa kwenye simu yangu
Ndio kwanza nina miak 17 naanzaje kuwa mtu mzima?Sema tu umeninyima[emoji6] [emoji16]Mamaaa siku hizi ni nipe nikupe. ukitaka pesa njoo uchukue tigopesa wanatumiwa wanafunzi shulen sio watu wazima kama nyie
aah sijakunyima wewe njoo tu nikupe mie huwa situmi kabisaNdio kwanza nina miak 17 naanzaje kuwa mtu mzima?Sema tu umeninyima[emoji6] [emoji16]