Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Wahenga walisema kwamba, kimya kingi kina kishindo. Nina matumaini huyu profesa wa mbwembwe nyingi ataibuka kwa kishindo baada ya kaashfa ya mafuta pale kurasini.
Pamoja na kishindo kinachokuja, nje ya MCC, Prof. Atusaidie kwa kutuelezea kile anachokificha. Hali halisi Mtwara, kwani makampuni makubwa yamefunga ofisi zake na wafanyakazi kuondoka kurudi makwao. Kampuni iliyobaki Mtwara ni ya Dangote tu.
Nampa Professor nafasi kuwaelezea watanzania kinachoendelea, vinginevyo tutakuja na Nyaraka endapo atasema yasiyo ya kweli