SORRY..Naomba msaada wa maelezo kuhusu hili jambo..

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
1,220
1,411
#Habari: Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo ahukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni 3 au kwenda jela mwaka mmoja baada ya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumtia hatiani kwa kosa la kuzuia jeshi la polisi kutekeleza majukumu yake. ITV

SWALI LANGU...
Kwa hukumu hii INA maana JF imeshindwa.
Sasa je ndio watatoa zile taarifa ambazo Polisi walizitaka au .... (WHAT IS NEXT)?

#ARE_WE_STILL_SAFE?

Au ndio tunaanza kuchomana kama Ma DSO na WATUMISHI WA UMMA halmashaurini....??

#YNWA
IMG_20200408_161251.jpg


Wrote from Anfield..!!
 
Sio lazima kuandika kama hujui unachokiandika kinavunja sheria gani, hekima pekee katika hili ni kusoma tu. Hakuna atakayekulaumu
 
Ukihukumiwa kwenda jela au kulipa faini ndio mbadala wa kosa uliloshtakiwa kwa hiyo hatastahili kutaja .
Ila hukumu imeweka presedent mbaya ya kunyima faragha ya mtu
 
Sio lazima kuandika kama hujui unachokiandika kinavunja sheria gani, hekima pekee katika hili ni kusoma tu. Hakuna atakayekulaumu
Nimepost kuhusu DSO umemind..!!

1. Kwani we ni mtumishi wa UMMA? Mbona Public service standing order inakuelekeza usiwe na chama?
2. Kwani hii post ina CCM au CHADEMA ndani yake?
3. UNAFANYA NINI HUMU?
4. Unajua maana Presedent au huko Lumumba hampewi elimu ya darasani?
5. Unadhani watanzania wotee tuna vyama?

#YNWA


Wrote from Anfield..!!
 
Back
Top Bottom