Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
Nathubutu kusema hivi.
Ati anasema "mtoto wa kike akimaliza darasa la 12 japo hatofaulu kupata nafasi ya kwenda kidato cha 5 angalau atakuwa amepata uwezo wa kuchagua mwanamume".
hii ni akili kweli? waziri anazungumza pumba kama hizi kwenye chombo cha habari kikubwa kama BBC mbele ya masikio ya watanzania wote (bbc inasikika hata vijijini)?
kumbe serikali yake inafundisha watoto wetu kuchagua wanaume? yaani serikali ya JK inafundisha Kicheni Pati?
mnisamehe wanajamvi.labda nimemuelewa vibaya huyu mama.
kwa mtizamo wangu huyu mama ni bogus na hapaswi kupewa nafasi ya kuwa waziri.
Naona yuko kama Makamba vile! Aah, kumbe alitumia elimu yake kum-scout KKEbwana nakuunga mkono kwa ulichosema.
Yaani huwezi amini ni waziri naamini ni msomi anaongea kama (samahani)mwanamama wa uswazi ambaye hana elimu zaidi ya std 7 ya bongo.
Nimemsikiliza nikawa naona aibu mimi. Wa rwanda ameongea vizuri tena kiswahili kilichonyooka, mama Nkya nae ameongea freah lakini huyu 'so called' waziri anatuaibisha.
She has proved that since longtime ago!Whenever she speaks she must IRRITATE!Ni bogus haswa mkuu!Hivi ana elimu gani huyu mama?
Jamani hivi Rais wetu anatumia vigezo gani kuchagua watendaji wake hasa ukizingatia Mama huyu ni WAZIRI kwakweli hafai kuwa hata diwani.Nimesikiliza mjadala huo mwanzo hadi mwisho bahati mbaya nimeshindwa kurekodi.Kwakweli huyu mama amezungumza pumba inatia aibu.Anaulizwa kuhusu mipango,mikakati na mafanikio yeye anazungumzia sherehe na kwamba sherehe ni vigumu kufanyika kila kijiji.Ukimsikiliza mshiri kutoka Rwanda moja kwa moja utaelewa kwanini wanafanikiwa,mtu maki anaelewa anachokizungumza kwake ni rahisi kuelezea mikakati,mipango na mafanikio.Kwani kwao mipango ipo,mikakati ipo,watendaji makini wapo na hatima yake mafanikio ndio maana katika kipindi kifupi baada ya kutoka katika vita wamepiga hatua kubwa katika sekta zote.Katika nchi yetu ambayo pamoja na amani na utulivu kwa watendaji kama hawa wakina Sophia Simba cha kusikitisha asilimia 99 pamoja na Rais mwenyewe JK uwezo wao wa kuoongoza ni dhaifu nchi yetu inapiga hatua kurudi nyuma.Inasikitisha MUNGU IBARIKI TANZANIA.Nathubutu kusema hivi.
Ati anasema "mtoto wa kike akimaliza darasa la 12 japo hatofaulu kupata nafasi ya kwenda kidato cha 5 angalau atakuwa amepata uwezo wa kuchagua mwanamume".
hii ni akili kweli? waziri anazungumza pumba kama hizi kwenye chombo cha habari kikubwa kama BBC mbele ya masikio ya watanzania wote (bbc inasikika hata vijijini)?
kumbe serikali yake inafundisha watoto wetu kuchagua wanaume? yaani serikali ya JK inafundisha Kicheni Pati?
mnisamehe wanajamvi.labda nimemuelewa vibaya huyu mama.
kwa mtizamo wangu huyu mama ni bogus na hapaswi kupewa nafasi ya kuwa waziri.
Huyu mama kipaumbele chake ni wanaume tu na si vingine. Hata nafasi ya uwaziri ameipata siyo eti ana uwezo wa kuongoza bali ni kwa ushikaji mzuri alionao na wakubwa wa Chama.Nathubutu kusema hivi.