Sophia Simba na Shyrose Ndani ya Vita Mpyaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sophia Simba na Shyrose Ndani ya Vita Mpyaaaaaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 25, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  <tbody style="margin: 0px; padding: 0px; border: 0px; outline: 0px; vertical-align: baseline; background-color: transparent; ">[TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="class: tr-caption, bgcolor: transparent"]Shy-Rose Bhanji, (Kulia), akionyesha uso wa hasira huku akitulizwa na mjumbe mwenzake, kufuatia tafrani kati yake na mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania UWT), Sophia Simba

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  <tbody style="margin: 0px; padding: 0px; border: 0px; outline: 0px; vertical-align: baseline; background-color: transparent; ">[TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="class: tr-caption, bgcolor: transparent"]Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, (aliyekaa), akitulizwa hasira na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwkezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu, wakati wa kikao cha uchaguzi mkuu wa Jumuiya ya Wanawake ya CCM, UWT, kwenye ukumbi wa chuo cha Mipango Dodoma Jumamosi Oktoba 20, 2012.


  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dawa ni kuhama hicho chama kama kweli wapo Serious. Kila uchaguzi rushwa nje nje unategemea kuna viongozi hapo?
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Dah ndani ya TV live ilikuwa kichekesho cha mwaka!! Jamani media wekeni You Tube tufurahie looooooooooooooooooooh!! Aibu ya mwaka!!
  Yaani Shy-Rose aliuliza swali la msingi tu kuwa mwenyekiti hafanyi au hakufanya jitihada za kutosha kuvutia wanachama akina mama CCM!! Acha Sofia Simba ajibu kwa mipasho!!! Waziri alitia aibu, hana busara kabisa. It was so childish response, ya uswazi kabisa!! Shy ana haki ya kukasirika!!
   
 4. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Machakula ya........yanatupiana vijembe, kazi kweli kweli
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ni kweli shy aliuliza swali la msingi, tatizo sofia et al wanauswahil mwingi na upeo mdogo,nadhan na menopause zinachangia
   
 6. C

  Concrete JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  *Ugomvi wa namna hii huwa mara nyingi unatokeaga mitaani wanawake wakigombea mwanaume na sio kwenye majukwaa ya kisiasa.

  *Hakuna mgongano wa kimaslahi ya wanaume kweli hapo?

  *Kuna tetesi kuwa hapo kabla mmoja alikuwa anakamuliwa na Lowassa na mwingine na Sumaye.
  Baadaye mmoja akawa analiwa na Sugu na mwingine analiwa na..........
  Kwa sasa wote wanaliwa na........!
   
 7. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu bwana!
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Taire taire taire
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu umefanya nimecheka sana kwa haya maelezo yako!
   
 10. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa wetu uhuru wa kutofautiana hoja huwa haupo na siasa za kipambe nazo zinachangia maana alivyouliza tu hilo swali wapambe nao wakaingilia wakataka atolewe nje, tatizo wamezoea maswali ya kurembaremba na ukimuuliza kiongozi yoyote swali kama hilo wengi hu-panic badala ya kujibu hoja na wengine huenda mbali zaidi na kusema UMETUMWA, huyo Sophy mwenyewe ana sura ya kimipasho
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Mbona hao wengine umewataja alafu wengine unaweka dash ina maana kuna ambao wana haki ya kufichwa majina yao na kuna ambao ni lazima watajwe?tiririka mkuu umalize kila kitu
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  hao wengine ni historia, ni kama sasa ambavyo imekua rahisi kuwapeleka marais wastaafu mahakamani, kwa hiyo wa historia hana nguvu kuliko wa sasa, ngoja aache tu kiudaku...huenda ni mod...au ni mkulu....
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Eti sugu anamkula nani hapo?uskute lion sophy!bora yule model bado anafaafaa.
   
 14. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Na wakome,chama lenyewe limeshakufa!
   
 15. Chakochangu

  Chakochangu JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 2,198
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  Mkulu Wa bangoi
   
 16. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wamekutana njia za panya halafu wanasumbua wananchi............ wanajuana hao
   
 17. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo matunda ya "HAKI SAWA KWA WOTE" Mwanamke kama huyu, mme wake si ana kazi??????
   
 18. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kuna wengine hapo full adabu wakirudi nyumbani kwake wakati akiwa jukwaani anahubiri wanawake wasikubali kuonewa pia wafanye kazi za nyumbani sawa kwa kushirikiana na wanaume, but wakirudi nyumbani kile wanachohubiri ni NOT APPLICABLE na kama ingekuwa mieleka kile anachohubiri jukwaani mwisho angesema DON'T TRY AT HOME
   
 19. g

  geophysics JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haya waachieni wana CCM sisi tumechoka nayo...hawa wote wameshiba tu kama si hivyo hata mama yangu angekuwa anajua UWT ni nini na akawa mwanachama.
   
Loading...