MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Kuna msamiati unaosema, Ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji.
Sadifa Juma anasubiri nini wakati Wenyeviti wenzako wa Jumuiya za CCM wakinyolewa? Hufahamu kama CCM iko kwenye mageuzi chanya ya kiuongozi na kiutendaji?
Hukuwasikia Sophia Simba na Abdallah Bulembo wakiaga?
Mbaya zaidi ulikuwa Timu Lowassa wakati wa uhai wake ndani ya CCM lakini vile vile uliendelea kumshika mkono wakati wa harakati zake za kuingia Ikulu kwa tiketi ya CHADEMA ambazo zilisambaratishwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akishirikiana na Kinana na pia Waziri wa Ujenzi, John Magufuli.
Haya maneno yako katika thread hii yatakutafuna; LINK==>Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa Hakatwi Jina
Chini ya Uongozi wako, UVCCM imekuwa ni kijiwe cha majungu, kujipendekeza na ufisadi.
UVCCM ya sasa siyo ile ambayo wazee wa CCM walikuwa wanaiheshimu na kuiogopa.
Chini ya uongozi wako, UVCCM is all bark and no bite.
Comrade Sadifa, it's time to come to terms with the fact that your days are numbered and get ready for change.