George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 58
- 42
Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Jana!
Mh Sophia anaomba ridhaa hiyo kwa Chama Jimboni Rungwe huku akiwa na mafanikio lukuki katika kuwatumikia Wana Rungwe wakati wa Ubunge wake wa Viti Maalum kwa miaka kumi!
Sophia anatajwa kuacha alama za mfano katika Maendeleo ya Wana Rungwe kuliko watia nia wote jimboni humo!
Ni wazi kuwa jina lake litatoboa kati ya wateule watatu wa Chama na kuja kupigiwa kura na Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Rungwe!
Na ndio hapo naona kwa 100% Mh Mwakagenda "atatoboa" asubuhi na MAPEMA!
Uledi!