Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,699
- 164,978
Soon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.