Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
......umepaniki!Hivi mnamtisha nani na haya majina? Watu ambao walitoka kwenye serikali na hakuna kilichosimama nao ni wakutusumbua na kurudi kwao? Hapi ni Lowassa au Membe? Tupunguze shobo za kishamba.
....inarejeshwa.Naona mnaibomoa sukuma gang taratibu.
Mbona Mwashambwa hayuko kwa list?Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni...
Wewe lini utaingizwa kwenye mfumo......umepaniki!
Hao wamekubali kuwa machawa tuMbona Mwashambwa hayuko kwa list?
Makonda akiwa Katibu Mkuu wa Chama watanyooka 🔥🔥Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni....
PumbaBasi sawa ila ni zamu ya mama kupumzika. Tunahitaji kiongozi atayesimamia kile anachokiamini siyo hawa wakuongeza namba tu kwenye kodi na kuamini usimamizi wa ma DP world.
....shukrani!Wewe lini utaingizwa kwenye mfumo
Au ndiyo mnawapugia wenzenu chapuo tu +uchawa
Ova
Kwa lipi Suzy? Tuhoja twepesi twa kupima upepo hatuwezi kunipanikisha. Nimekupa tu mifano ili upime huyo unayemshobokea ana nguvu ipi?......umepaniki!
....ameamua iwe hivyo sasa kwa wakati huo husika.Akiamua ameamua ana sababu za wakati husika
Sawa mama wa wanangu.Pumba
Na iwe tu,kwani ilivyokuwa kwa Makonda kuna wanachama wamerudisha kadi? Kazi inaendelea na wanachama wanatimiza wajibu wao, wampende au wasimpende wanabaki kuunganishwa na Chama chao.....ameamua iwe hivyo sasa kwa wakati huo husika.
Hapa nimekuelewa...maana Moto wa Kusaini mikataba na DPWorld ulikuwa si wa kitoto wakati huo, hivyo, ilikuwa ni lazima. Maamuzi yafanyike. Nimekuelewa.Kuna mabadiliko ni ya lazima kwa wakati husika.
Eeeh watu wanatumia sayansi ya siasa kufanya matukio fulani kwa pamoja wakati fulani halafu kuna mtu anatuletea siasa za mahaba hapa. Siasa ni akili,kuongoza nchi ni zaidi ya kuweka unaowapenda,kuna wakati adui ndio anakuvusha na hitaji la wakati.Hapa nimekuelewa...maana Moto wa Kusaini mikataba na DPWorld ulikuwa si wa kitoto wakati huo, hivyo, ilikuwa ni lazima. Maamuzi yafanyike. Nimekuelewa.