Soo la makaratasi ya kijani!

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Duh ishakuwa soo....dili lishabumburuka, kilichobaki ni kulala mbele tu...gademu


Mama wa watu akaendelea tena hapa:


Duh sasa hata jina halijatajwa....sijui tutamshitua vipi mshikaji alale mbele...
 
Some people love drama.

Kulikuwa na Mwalimu Mkuu wa Tambaza alikuwa anaitwa Julius Mushi, alikuwa mnoko kichizi, lakini wanafunzi wake wakifanya fujo na kuua watu, kitu cha kwanza kusema alikuwa ni "mimi wa kwangu waliouawa wako wapi?"

The moral of the story is, not to condone this behavior, but huyu mama anataka kutupa story yake, bado hatujui story ya mbongo wetu, without that this post is almost pointless udaku, unless you are into this shyt and want to know wsup.
 

Pundit - take it easy...will ya'

Nimeipata hiyo post kutoka kwenye U.S. immigration forum ndani ya lawyers.com. Huyu mama amepost kuomba ushauri ni nini afanye kuhusiana na kisanga hicho..

Mimi nimeileta hapa kwa sababu nimeona jina Tanzania lina relate na humu ndani...
 
I know I know, inaleta maswali mengi kuliko majibu. Muhimu pengine watu waone jinsi mambo yanavyokuwa na drama.But for this particular case we cannot learn much.The reading was a resounding indictment hence my decision to play self appointed advocate and the question "wa kwetu wako wapi?"
 

You are right. Na ndo maana mwisho nika wish kama tungemjua huyo mshikaji. ili - (1) tujue his side of the story (2)tumshauri afanye nini.
 
Yaliyojiri kuhusu hii ishu tokea mara ya mwisho:

http://community.lawyers.com/messag...Id=20&threadId=12284&threadstart=&threadend=0

re: my daughter was used for a green card
By: wsamdbsma20 (Consumer)
Date: 8/21/2008 3:09:12 PM
Member Since: 8/16/2008
State: TX
Email Address: pattigrinage@yahoo.com


well, my daughter opened her eyes and left him, and he admitted to her that he did in fact cheat on her. He was doing it before they were even married. Now I found out that he cheated on his taxes with the help of a man who does it for him and others. My daughter had only been married to him for three months, and was still living at home with us, and they filed single, then he amended the return and claimed her, although we claimed her as a dependent. Needless to say, if she signed the bogus thing, she is in trouble with the IRS a well. She tried to tell them that it was wrong, and they told her if you get caught, they will just make you pay them back. He claimed people as dependents that may not even exist, using fake social security numbers. We are going to get a lawyer to help her and pray he doesn't talk her into going back to him. He is preying on her faith in God and the sanctity of her wedding vows, which she takes very seriously. There just ought to be a way that our government can keep people like him from abusing the system like he has. there are channels to come here and live legally.
 

Mmmmmhh!!! Haya makubwa sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…