KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Z3 ni nzuri, huawei inatumia cortex a53 ambayo ni processor ya hali ya chini.
Pia upande wa battery sony wapo vizuri.
Naomba kujua ipi ni bora katika nyanja za processor, screen ku-scratch au kupasuka, camera etc.
Yani incase umeambiwa uchague moja utachukua ipi?
cc Chief-Mkwawa
Asante kwa coment mbuzi na kuku.natumi huo Mzigo bana licha ya kua quad core. INA 20.1mp rear camera. na 5 mp kwa mambo za selfie. water proof. na battery ya ukwee long lasting. we acha 2. chukua z3 kaka hutajutia
Naomba kujua ipi ni bora katika nyanja za processor, screen ku-scratch au kupasuka, camera etc.
Yani incase umeambiwa uchague moja utachukua ipi?
cc Chief-Mkwawa
Z3 ni nzuri, huawei inatumia cortex a53 ambayo ni processor ya hali ya chini.
Pia upande wa battery sony wapo vizuri.
natumi huo Mzigo bana licha ya kua quad core. INA 20.1mp rear camera. na 5 mp kwa mambo za selfie. water proof. na battery ya ukwee long lasting. we acha 2. chukua z3 kaka hutajutia
KakaJambazi umezikwapua wapi mbona unaulizia simu zenye bei za kununulia viwanja na mashamba?
KakaJambazi umezikwapua wapi mbona unaulizia simu zenye bei za kununulia viwanja na mashamba?
Au uchaguzi, ukute ushanunuliwa wewe.
nlinunua 1-6m
Unauliza makofi polisi! Mtu mwenyewe anajiita Kaka JambaziKakaJambazi umezikwapua wapi mbona unaulizia simu zenye bei za kununulia viwanja na mashamba?
Au uchaguzi, ukute ushanunuliwa wewe.