Sony xperia z and z1

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Kwa wale wanaohitaji sony Xperia z baada ya zile kuisha zmekuja nyingine piece tatu moja wapo ni XPeria Z1. Tafadhali wahitaji wani pm. Smu.zote bado mpya
.
 
Kwa wale wanaohitaji sony Xperia z baada ya zile kuisha zmekuja nyingine piece tatu moja wapo ni XPeria Z1. Tafadhali wahitaji wani pm. Smu.zote bado mpya
.

Bei tafadhali?
 
Kwa wanaohitaji tafadhali unaweza kuni pm
 
Mchina iyo ndo mana haweki. Bei. Na picha hakuna. Mmmmh mchina uyu hatari
 
Zilshauzwa wadau. Asanten sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…